Kibongo bongo madirisha ni lazima yawe na grills

Hata ulaya wanaweka grill , ukiacha commercial buildings
Ulaya ni nchi zilizo upande wa mashariki, huko ni eneo lenye nchi nyingi zenye uchumi mdogo. Hayo maeneo yana viwango vikubwa sana vya uhalifu ambavyo kitakwimu vinakaribiana sana na nchi zetu za ulimwengu wa tatu. Pia mataifa mengine ni yale yaliyo kusini mwa ulaya kama Hispania, Ureno, Italia na Uturuki pia haya yana viwango vikubwa vya uhalifu huwa wanaweka sana manondo nondo dirishani.

Nchi zilizo upande wa kaskazini na magharibi mwa ulaya (Ujerumani, Uingereza, Uholanzi, Sweden, Norway, Finland, Denmark, Iceland, Ubeligiji, Uswisi na Ufaransa) ni kitu cha ajabu kuweka nondo dirishani. Upande huu viwango vya uhalifu vipo chini sana na watu wengi wana shughuli za kuingiza kipato ukilinganisha na wenzao wa pande za kusini na mashariki mwa ulaya.
 
Unatakiwa kuwa na system mbili,
1. System inayo kupa taarifa, alarm yenye sauti kama ya kukuamsha .. Hii system inatakiwa itambue kitu chochote kinacho gusa gate, grill za madirisha, fence etc na itoe taarifa bila mwizi kujua.

2. Unatakiwa uwe na CCTV camera.


Kuna jamaa ana system hata ukiwa mwizi ukikaribia gate tuu, gate linafunguka na kuna kasauti kanakukaribisha.. baada ya dk 5 gate linajifunga na yeye anapata taarifa kwa alarm kwennye simu yake.

Sasa kuna jamaa gate lilipo funguka akaingia , akachelewa gate likajifunga.. jamaa akafungulia mbwa tena remotely, alijikojolea hadi akagonga mlango wenyeji wampe maji.

Ila kusema ukweli wafungaji wengi wa cctv camera hawana akili ya kuongeza intelligence ya hizi system.

98% ya cctv camera hazija wahi kamata mwizi japo 60% ya wenye cctv camera wamewahi ibiwa wakiwa na hizo camera
Huwa sioni umuhimu wa cctv camera ikiwa haiwi monitored 24/7 utaishia kuja kuangalia filamu ya maumbo ya wajomba waliokuja kukutia hasara na hautowajua kamwe. Kibongo bongo mtu akishafunika uso huwezi kumtambua tena.
Badala ya cctv camera ni bora kuimarisha physical security, kwa maana ya ukuta na uweke fence ya umeme kwa juu. funga intruder alarm system madirishani funga motion detector sensor ambazo ni pet friendly ndani funga sensor aina yoyote
 
Huwa sioni umuhimu wa cctv camera ikiwa haiwi monitored 24/7 utaishia kuja kuangalia filamu ya maumbo ya wajomba waliokuja kukutia hasara na hautowajua kamwe. Kibongo bongo mtu akishafunika uso huwezi kumtambua tena.
Badala ya cctv camera ni bora kuimarisha physical security, kwa maana ya ukuta na uweke fence ya umeme kwa juu. funga intruder alarm system madirishani funga motion detector sensor ambazo ni pet friendly ndani funga sensor aina yoyote
Ni kweli hakuna hata DNA database ya wahalifu. Picha za cctv camera kwa aliyefunika uso haziwezi kuwa ushahidi wa kutosha.
 
Camera utaishia kuwaangalia wajuba in action tu hazina msaada wowote.
Wamuulize Mo alivyotekwa kama CCTV zilifanya kazi yakueleweka🤣
images (3) (30).jpeg
 
Ila sasa hivi maisha yame change sana

Hakuna mtu anavunja grill kuja kuiba TV au vyombo au makochi

Nowadays hakuna aneiba makochi au vitanda au mafriji kama miaka ya 1980's-90's.Ni mazito na bulk too much mpaka mwizi abebe na malori,dont make any sense leo maana atashikwa tu!

Gharama za kuvunja gril kuiba TV tu ni hasara

Unless kuna watu hired kuja kufanya killings

Grill haina haja kabisa....ukiniambia electric fence,electric smart alarm labda na camera can do better job to deter wezi

Otherwise grill na madirisha madogo unajiweka jela,infact nyumba inatakiwa 40% ukuta 60% ni wazi na glass

Otherwise tunarudi kule kule maisha ya 80's na 90's!
Ndugu yangu TV zinaibiwa kila siku Bongo tena kila sehemu sio Masaki sio Tandale.
Nilikaa Philipines nako wana grill kwa sababu ya wezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom