Kwanini Watanzania lazima tuweke magrill kwenye madirisha?

Je ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Marikani wizi wao sio wa TV, radio simu, na vyombo vyandani ni wa pesa na uhai grill haizuii risasi uko Marekani.
 
Mimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
 
Mkuu,
Kwako hatupajui.
Piga kwa kuibia tudese.
Nakubaliana na wewe tuimarishe fence na mengineyo
 
Kimuonekano pana fanana sana na nyumba hii. Tofauti yake mimi nimeweka full windows floor to ceiling nyumba nzima except for bathroom, laundry room and kitchen.
 
Attachments

  • norgeshus-Italy_Pavia_111_02-1000x750.jpg
    norgeshus-Italy_Pavia_111_02-1000x750.jpg
    117.5 KB · Views: 30
Mimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
Mkuu huogopi majambazi? Grill zinawapa ugumu majambazi kidogo kuingia ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom