Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,486
- 2,634
...kuna baba zako humu,Labda niwarahisishie tu kwa wote mnaomjadili Kibonde na jibu lake ni kwamba Kibonde na Kitenge ni State Security,km hamjaelewa mkaangalie dictionary,nadhani jibu mlilioata juzi kwenye tukio la Nape kuhusu Kitenge.
..ulipolalia ndo walipoamkia;
.,haya futa kamasi ,kacheze na watoto wenzio!