Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

Wakuu habarini
Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi nakushuhidia uyu mzee aitwae kibonde amekaa kiupande mmoja yani kila mda nikumsufu rais ata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata habari inapokuja isiyo egemea kwa rais uyu jamaa anakaa kujikanyaga akitetea
Iv uyu jamaa anatumika au VP
Anataka ukuu wa wilaya
 
Labda niwarahisishie tu kwa wote mnaomjadili Kibonde na jibu lake ni kwamba Kibonde na Kitenge ni State Security,km hamjaelewa mkaangalie dictionary,nadhani jibu mlilioata juzi kwenye tukio la Nape kuhusu Kitenge.
 
Wakuu habarini
Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi nakushuhidia uyu mzee aitwae kibonde amekaa kiupande mmoja yani kila mda nikumsufu rais ata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata habari inapokuja isiyo egemea kwa rais uyu jamaa anakaa kujikanyaga akitetea
Iv uyu jamaa anatumika au VP
Maisha ni Nyumba - NHC
 
Kila mtu ana maisha yake na wewe ishi maisha yako - Mbona wewe kila jambo unampinga Rais na kumtetea Mbowe na Mamvi
 
kibonde naye alizungusha yani fa fa fa kifupi naye ni bashite japo hajatoka koromije
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom