Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

Anaomba uteuzi kiutu uzima. Kbwabwaja had I lini tunamjua huyo ni mpambe mzuri tuu.
 
Wakuu habarini
Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi nakushuhidia uyu mzee aitwae kibonde amekaa kiupande mmoja yani kila mda nikumsufu rais ata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata habari inapokuja isiyo egemea kwa rais uyu jamaa anakaa kujikanyaga akitetea
Iv uyu jamaa anatumika au VP
Na wewe unatumika bila shaka.
 
89975346fec2fd03ea15c0e46ccf5131.jpg

Bila shaka,umepata jibu.....
 
Kachoka kupiga porojo radioni..... anataka ukurugenzi na yeye akatulie ofisini kama Harison Kamoga.
 
Amechelewa kimsifia kipindi hiki nikazi bure cz saivi mkulu na clouds ni differ maybe ajaribu 2020
 
Wakuu habarini
Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi nakushuhidia uyu mzee aitwae kibonde amekaa kiupande mmoja yani kila mda nikumsufu rais ata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata habari inapokuja isiyo egemea kwa rais uyu jamaa anakaa kujikanyaga akitetea
Iv uyu jamaa anatumika au VP
Hebu toa mfano basi
 
Rais amechuja amechusha na hana tena mvuto hata wanaomshangilia ni wanafiki tu kwani hata Idd Amin alishangiliwa mpaka dakika ya mwisho alipotorokea Sudan!

Hata mumpake marashi gani hawezi kunukia tena jamani!
 
Huyo kibonde hata kwenye issue ya vyeti alikuwa yupo upande wa bashite sana tu huyu nadhani kuna jambo sio bure au kwa ajili ya kale kapromo ka NHC?
 
Wakuu habarini
Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi nakushuhidia uyu mzee aitwae kibonde amekaa kiupande mmoja yani kila mda nikumsufu rais ata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata habari inapokuja isiyo egemea kwa rais uyu jamaa anakaa kujikanyaga akitetea
Iv uyu jamaa anatumika au VP
Bado kunateuzi zinandelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom