Kibela wa vodacom akataa sh milion 10.

N kwa wale walioshinda zile Hyundai i10 illikuwa mazabe ama stori ya kweli
 
kwel labda mshtuko, kuna dada alizimia wakati tunapewa boom la first year,tulipewa cash laki7 na 85 ya first semester! Ile kupewa na kuambiwa ahakikishe dada wa watu puuu chini, ikabid 2mpe first aid

hahahahahaha! Nahisi hata mi nikipata hiyo 10m ya ghafla lazima nipoteze faham kidogo. Lol.

Jamani mbona kidogo tu hizo? Mimi pesa kubwa kabisa kushika kwa mara ya kwanza kwa mara moja ilikuwa mil. 2.6 mwaka 2000 likiwa ni bumu la mwaka mzima wakati nasoma Msc. pale UDSM. Sikuona kama ni pesa nyingi sana nilitia kwenye begi nikaishia zangu Ubungo Hostel maana tulikuwa tumelipwa kwa check na sponsor wetu tukaenda kuchukulia Bank huko city centre. Kwa sasa hivi labda nipewe trilioni moja ndo zaweka kunichanganya.
 
watu wanatofautiana bana. Mwingine hata laki 1 tu anazimia. Lol!
 
Haki ya nani. Ingekua ni mimi natakiwa kulipia 70% ya Hyundai i10 sijui ingekuaje. Assume huyo mteja alieshinda hio gari hana hio 70%, wanampa mkoko au hawampi?
 
Labda kama tikitaka ukweli wao tuombe ajitokeze humu ambaye aneshinda kweli na akapata zawadi hiyo. Au kama kuna alitemuona mshindi na akakabidhiwa gari hilo na likawa lake moja kwa moja aliye shinda mamilioni hayo na yakawa yake hadi leo. Aseme.
 
Jamani mbona kidogo tu hizo? Mimi pesa kubwa kabisa kushika kwa mara ya kwanza kwa mara moja ilikuwa mil. 2.6 mwaka 2000 likiwa ni bumu la mwaka mzima wakati nasoma Msc. pale UDSM. Sikuona kama ni pesa nyingi sana nilitia kwenye begi nikaishia zangu Ubungo Hostel maana tulikuwa tumelipwa kwa check na sponsor wetu tukaenda kuchukulia Bank huko city centre. Kwa sasa hivi labda nipewe trilioni moja ndo zaweka kunichanganya.

wewe waona hvyo, imagine mtu kushika elfu mbili tu ni kaz sembuse laki 7!huoni wapiga debe wanapigana kw shiling mia tu?
 
Back
Top Bottom