Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
- Thread starter
- #81
Nasema kitu ambacho ni profession yangu, so niko experienced na watu kama ninyi !!!! Kwa nini upime hadi mara saba ilhali ikishafikisha mara tatu wanakwambia huna tatizo, nenda kajitunze. Vituo vingine ukienda na kile kikadi baada ya kupima mara tatu wanakuonya kabisaaaaaaaaaa kuhusu tabia yako maana wanafahamu kuwa una tabia hatarishi.
Ni kweli mkuu usemayo. Lakini kwani kuna ubaya gani wa kufanya uchunguzi wa afya yako mara kwa mara?