Khadija kopa na mabint zake...

Kaka hayo ni matatizo matupu, ngoja tuwaachie kina Diamond na wengine wapenda mademu wanojiita masuperstar, ss ngoja tujisogeze kwa wale underground.
 
Nyie ndio waongo, kwanini upime mara zote hizo. Yaani unamaanisha umetumia zaidi ya miezi 21 katika maisha yako kupimapima.

Ndio ukweli huo mkuu mimi huwa napenda kupima mara hadi kitu ninachopimia wameshanizoea.
 
Ni haka kaukimwi kametuharibia huyo mwenye mpododo ukimpata kale kampira sio cha lazima
 
attachment.php

Kweli dunia imeisha!! Huo mvao mbele ya mama. Na mama anafurahi tu na wametoka wote nyumbani kwao- haka kama ni kwenye muziki / starehe. Yes like mother like daughter. Nadhani na watoto hao pia watakuwa na watoto wenye baba tofauti. mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
 
Last edited by a moderator:
Sio mbaya mzazi mi nazindua maji taka naamini mfereji bado haujazinduliwa
Loh, kudadako, nshapita mie lon'tym! Jaribu kwa huyo wa kulia, manake mshkaji wangu Jose ndo anachukua na binti m'bishi anavyodai, hataki zibuliwa chemba.
 
hao ni machangu doa aka makahaba wameshazoea kujiuza na mama yao anawafanyia promo kunako steji.
 
Hivi kulikuwa na umuhimu gani hao watoto kuvaa nguo fupi hivyo!!! Maana hizi fujo huwa wanaziazisha wenyewe halafu na mama yao anawacheki tu. hatutaki lawama sisi!!.
 
Back
Top Bottom