Khadija kopa na mabint zake...

Khadija kopa na mabint zake...

Nasema kitu ambacho ni profession yangu, so niko experienced na watu kama ninyi !!!! Kwa nini upime hadi mara saba ilhali ikishafikisha mara tatu wanakwambia huna tatizo, nenda kajitunze. Vituo vingine ukienda na kile kikadi baada ya kupima mara tatu wanakuonya kabisaaaaaaaaaa kuhusu tabia yako maana wanafahamu kuwa una tabia hatarishi.

Ni kweli mkuu usemayo. Lakini kwani kuna ubaya gani wa kufanya uchunguzi wa afya yako mara kwa mara?
 
jamani wamependeza and for their age its ok wakitoka hivyo hasa kwenye starehe wakiwa na mama yao. unajua bwana ukweli ni kwamba its difficult to monitor. wewe mzazi utasema vaa nguo hizi akifika getini tu anabadili so ni bora avae ukiona ili nujue yukoje. ila utakacho angalia ni anavaa hivyo wakati gani na anakuwa na nani.
 
Msimlaumu dobi,kaniki ni rangi yake....waswahili washasema
 
Anaitwa zuhura zuchu
Tafadhali naomba contact za huyo wa kwanza kushoto!
attachment.php
 
[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
JF ni Kiboko, uzi una Miaka 9 tangu wanaJF walipomuona Zuchu kuwa ni Kisu, na matokeo tumeyaona 2021 Salute you Guys mko vzuri.
 
Mwenye uzi wake aje hapa, huenda ana nyota ya dhahabu. Sahiz Zuchu amekuwa super star na ulikuwa unamtamani kitambo
 
Utaliweza hilo jimama wewe?
Walioweza wana nini mpaka mimi nishindwe??? tena hilo ndo zuri linanihonga kabisaaaa!! gari!! kiwanja, asikwambie mtu kuhongwa na mwanamke tena jimama!!! raha sana.

mama watoto wako unamwambia kabisaaa atulie km maji ya mtungi kwa mke mwenzie!! iwapo anataka maisha na mimi na asilipize kisasi. mijimamam yenye hela ndo dawa ya mademu michepuko!!!
 
kha unapenda mpododo, kashapendwa na wengi kabla yako.
Nina hakika mimi nawazidi wote!! nataka nione humo ndani yake !!! walicho kitafuta woooote hao ni nini? Watu wazima, vijana kwa vikongwe!! asikwambie mtu Kuna K' ni kama zinavuta sumaku yaani huichoki!!!
 
Back
Top Bottom