Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
- #61
Mi naomba mniachie mama yao tafadhali!
Utamuweza mama yake wewe kama hutoishi kuchunwa hadi kutembea uchi.
Mi naomba mniachie mama yao tafadhali!
Si haba amejaaliwa vitega uchumi viwili
Nimepima mara ya saba mwezi wa nne.
Mi huyo mwenye mpododo mi hoi jamani hivi anaishi pande zipi nianze kumnyatia.
Nimepima mara ya saba mwezi wa nne.
Ndio ukweli huo mkuu mimi huwa napenda kupima mara hadi kitu ninachopimia wameshanizoea.
sawabho: hahaaa u made my day Young_Master:jifunze kujieleza unatia aibu mkuu, hata mdogo wangu wa form one hawezi kujieleza kirahisi kama wwKama ni mara saba katika mwezi mmoja bado damu yako sio safi. Unapaswa kupima baada ya miezi mitatu tangu ulipopima au tangu ulipocheza rafu bila viatu.
Tafadhali naomba contact za huyo wa kwanza kushoto!
![]()
Embu nipe majina yao wanayoyatumia huko FB niwatafute ummu kulthum
ruky kopar huyo mwingine ningee dola 4000 nikwambie
sawabho: hahaaa u made my day Young_Master:jifunze kujieleza unatia aibu mkuu, hata mdogo wangu wa form one hawezi kujieleza kirahisi kama ww
Kama ni mara saba katika mwezi mmoja bado damu yako sio safi. Unapaswa kupima baada ya miezi mitatu tangu ulipopima au tangu ulipocheza rafu bila viatu.
sawabho: hahaaa u made my day Young_Master:jifunze kujieleza unatia aibu mkuu, hata mdogo wangu wa form one hawezi kujieleza kirahisi kama ww
Sisjasema kuwa nimepima mara saba kwa mwezi mmoja ila nimesema kuwa mwezi wa nne ilikuwa ni mara yangu ya saba kupima.
Sijakuelewa Manyanza Sijui kujielezea kivipi?
Labda nikupe hii soseji ummu kulthumu
soseji siitaki hata kama ni dawa
Ni kweli Mkuu Manyanza , fikiria huyu Mkuu Young_Master anasema amepima mara ya saba mwezi wa nne bila kusema ni mara ya saba tangu lini au tangu tukio gani lililomsababisha apime kila wakati !!! Akumbuke kuna "window period" anaweza pima akaona yuko fiti akaenda uwanjani bila viatu, akachafu damu kabla ya miezi 3 akaenda pima.