Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Is it a prosecution or persecution?

Baada ya kuisikiliza submission ya Mh. Tundu Lisu leo June 16, 2025, kwenye kesi yake ya uhaini nimeikumbuka barua maarufu kama "Letter from Birmingham Jail" ya 1963 Dr. Martin Luther King Jr.'s iliyosema "Injustice anywhere is a threat to justice everywhere,"

Ukiachilia mbali maelekezo ya sheria ya magereza na kanuni zake aliyoyaeleza Mh. Tundu Lisu katika submission yake, hata ibara ya 13(6)(b) ya Katiba ya Tanzania inasema "Ni marufuku kwa mtu aliyeshtakiwa kwa kosa la jinai kutendewa kama mtu mwenye kosa hilo mpaka itakapothibitika kuwa anayo hatia ya kutenda kosa hilo"

Nadhani kulikuwa na ukweli fulani kwenye maneno ya Mh Luhaga Mpina kuwa kama demokrasia ya vyama vingi imetushinda ni bora tukaachana nayo tu. Hatuwezi kuwa na wanasiasa ambao, akinusurika jaribio la mauaji lililomwachia ulemavu, tunawaweka kwenye death row, hata kabla hawajahukumiwa!

Mambo kama haya kwa mtu yeyote yule, acting outside ideological fanatism, hawezi kuyaunga mkono. Ninaamini tunaouwezo wa wakujenga nchi moja yenye umoja bila kujali tofauti zetu za kiitikadi. Tanzania ni yetu sote
View attachment 3371754
Persecution
 
Mpango wa Allah kumpeleka LISU UKONGA ni kuona mazingila ya jela yalivyo na kuona Sheria zinavyopindishwa ktk mageleza za hapa Tanzania.Allah hakukosea jambo hilo.ni wangapi wapo UKONGA wamenyimwa kufanya Ibada kama anavyosema LISU? Kuna namna Allah amelipitisha hili ili watu tufaham manyanyaso yaliyopo huko
na msipoangalia kesi itammaliza kashaanza kufukuza wakumtetea alivo hovyo hashindwi kuanza tena zile kauli zake za tunaenda kufanya uhauni tena
 
Mm nawaambia CCM TUNDU ANTIPAS LISSU ni hazina ya Taifa itumieni iwasaidie kuliko kuleta maendeleo ya kweli,CCM na Wahuni wote MUACHE tabia za kipumbavu ambazo hazina AFYA kwa usalama waTaifa.Ukweli unabaki kuwa UKWELI.Tundu ANTIPAS LISSU mpaka uwepo wake leo hii ni mpango wa MUNGU,tupime anachosema LISSU kama hakina maslahi kwa Taifa.
 
Sidhani kama kuna siku CCM ilikaa kuadhimia kuwa Tundu Lisu ashitakiwe. Haya ni mawazo ya watu wachache waliopewa dhamana. Wapo wana CCM wengi tu ambao hawakubaliani na haya mambo.
 
Mbona mm ni mwana CCM na nimechapisha humu Jamii Forum maoni yangu sio tu ya kupinga pia yale anayoyapinga Gwajima lakini pia kumuunga mkono kwenye hoja yake. Sio kila mwana CCM ni CHAWA, tupo wengi tunaoamini katika itikadi ya CCM ya KIJAMAA na HISTORIA yake.
Mbona hampazi sauti kupinga huo uchawa?
 
na msipoangalia kesi itammaliza kashaanza kufukuza wakumtetea alivo hovyo hashindwi kuanza tena zile kauli zake za tunaenda kufanya uhauni tena
Tundu Lisu akinyongwa ww utapata faida gani? Mawazo kama haya nilikuwa nayo nikiwa chipukizi. Sasa nimekuwa, naomba Mwenyezi Mungu anirehemu. Hivi vyama vyetu kuna siku vitakuwa vimekufa, ila utanzania wetu utakuwepo. Hatuna sababu ya kuutumia vyombo vya dola kukiuka haki za watu.
 
Surely, what honorable Tundu Lisu is going through is persecution instead of prosecution.

President Samia and her government are intolerant to criticism and opposition in general. Samia knows how unpopular she is, and for this reason acts draconically to prevent her unseating.
 
Hii sio ID fake, mm sio mhalifu, kwanini nifiche ID yangu? Unaweza search jina langu katika orodha ya madaktari kwenye link ya msajili wa madaktari Tanganyika (MCT) utalikuta hivi hivi na sura ipo pale.
Hujaandikwa kama verified humu jf. Hata hivyo huko ccm ww hufahamiki, hivyo huna impact yoyote ya maana.
 
Unachojaribu kuuamisha umma ni nini haswa? Kwamba verification za Jamii forum ndio standard ya ID authentication? Na kwamba ww unawafahamu wana CCM wote? Tangu lini kipimo cha uanachama wa chama cha siasa ukapimwa kwa umashuhuri na umaarufu wa muhusika? Inclination to popularity is a subject of personal preferences, it has nothing to do with ones ideology.
 
Tujiepushe na kutaja watu mahali ambapo hatuna ushahidi. Kwa jinsi UCHAWA ulivyokithiri, upo uwezekano mkubwa wanaoyatenda haya wakawa hawana baraka za Rais. Ushauri wangu, tuyakemee maovu kwa sura yake. CCM ina watu wema kadhalika na wabaya wachache hawawezi kukosa. Chama chenye wanachama milioni 13 si rahisi kutokuwepo wachache waliokengeuka. Hao tukiwajua na kama kuna ushahidi tunaweza kuwataja. Vinginevyo sio busara kufanya mobb justice. Tunawakosea wana CCM wema.
Dr, labda Kwa kama utaruhudu matazamo kinzani ambao ni halisi vile vile.

Kwangu Mimi Rais hawezi kukwepa kutajwa hata Kwa Jina lake Samia Suluhu Hasaani pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na idara zake, Uhamiaji, Magereza na Polisi.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba yanayotokea yapo under their control na hayafanyiki Kwa Siri yapo Kwa uwazi na bayana kabisa.

Wakuu Hawa, mteule wao ni Rais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu wa hiso organs. Kama mambo yanafanyika na hawezi kuyakemea na isipokua anawakemea wanaoyakataa na wakati huo huo hamuwajibishi hata mmoja kati ya hao isipokua ni kuongeza uteuzi na mamlaka, ni vyema akatajwa yeye Moja kwa Moja.

Nachoweza kukwambia kwamba hii ni party coccus ya CCM Kwa sasa. Kuhakikisha kwamba vyombo vyote vya usalama vinafanya kazi Kwa maslahi ya chama kwanza kabla ya wananchi. Kwa sababu kutenda Haki kutasababisha chama kupoteza udhibiti na sio ushawishi na kukubalika Kwa sababu hayo yameshapotea.

Kama kwa mujibu wa katiba yetu serikali Ina wajibu wa kuhakikisha ustawi wa wananchi, na hapo serikali haitaku kuambiwa kwamba Kuna watu wanatekwa na kuuwawa na kwamba kunahitajika mifumo ya Haki na usawa badala yake inatengeneza makosa kama ya Lissu ya uhaini ni dhahiri mkuu na a hiyo serikali amebariki!
 
Unachojaribu kuuamisha umma ni nini haswa? Kwamba verification za Jamii forum ndio standard ya ID authentication? Na kwamba ww unawafahamu wana CCM wote? Tangu lini kipimo cha uanachama wa chama cha siasa ukapimwa kwa umashuhuri na umaarufu wa muhusika? Inclination to popularity is a subject of personal preferences, it has nothing to do with ones ideology.
Umesema ww hili ni jina lako baada ya mimi kusema hii ni fake id. Lakini kwa hapa jf ili ifahamike ni jina lako halisi, inatakiwa iwe verified. Ni kweli uanachama haupimwi kwa umaarufu wako, lakini maoni yako yanapata uzito ama kuleta athari kutokana na umaarufu wako. Kinyume na hapo ww ni mfurahisha genge tu, na maoni yako unatakiwa ukayatolee kwenye vikao vya ndani sio humu jf.
 
Kwa maoni yako, hawa tunaowaona wamefurika kwenye mikutano ya CCM wakiwa wamitinga kijani na njano ni akina nani sasa?
Hao ni makundi mbali mbali
Unaweza ukayataja vyema kabisa
Wanachama
Watumishi wanaolazimishwa na madedi
Viongozi wa Ccm wa ngazi zote
Wanafunzi ambao kunako Mkutano wa Ccm shart shule zifungwe.
Wanaosubiri malipo ya elfu 5 bada ya Mkutano
Wanaoshangaa kituko kinachozungumza hadharani,
Washamba wa kushangaa kiongozi na msafara
Mashabiki wa Chama ambao hata kadi hawana!
Uvccm/green guard kuanzia ngazi ya kata ambao ni lazima kuhudhuria mikutano.
Vijana jobless ambao wamekata tamaa na wanaona labda kujiatach huko wanaweza kupata Ajira.
 
Comrade hata Mwenyezi Mungu hatoi hukumu za jumla jumla. Lets call a spade a spade, mwovu aitwe mwovu kwa jina lake, mwongo aitwe mwongo kwa jina lake na mla rushwa aitwe mla rushwa kwa jina lake. CCM kama chama hakina mdomo wa kusemea uwongo, nafsi iliyohifadhi uovu wala mikono ya kupokelea rushwa. Wanaofanya haya ni watanzania wenzetu, pengine wenye dini kama zetu, lakini wanaweza kuwa wanajifichia kwenye koti la kijani kwasababu wanazozijua wao.
Ccm ni chamma cha watu waovu
 
Baada ya kuisikiliza submission ya Mh. Tundu Lisu leo June 16, 2025, kwenye kesi yake ya uhaini nimeikumbuka barua maarufu kama "Letter from Birmingham Jail" ya 1963 Dr. Martin Luther King Jr.'s iliyosema "Injustice anywhere is a threat to justice everywhere,"

Ukiachilia mbali maelekezo ya sheria ya magereza na kanuni zake aliyoyaeleza Mh. Tundu Lisu katika submission yake, hata ibara ya 13(6)(b) ya Katiba ya Tanzania inasema "Ni marufuku kwa mtu aliyeshtakiwa kwa kosa la jinai kutendewa kama mtu mwenye kosa hilo mpaka itakapothibitika kuwa anayo hatia ya kutenda kosa hilo"

Nadhani kulikuwa na ukweli fulani kwenye maneno ya Mh Luhaga Mpina kuwa kama demokrasia ya vyama vingi imetushinda ni bora tukaachana nayo tu. Hatuwezi kuwa na wanasiasa ambao, akinusurika jaribio la mauaji lililomwachia ulemavu, tunawaweka kwenye death row, hata kabla hawajahukumiwa!

Mambo kama haya kwa mtu yeyote yule, acting outside ideological fanatism, hawezi kuyaunga mkono. Ninaamini tunaouwezo wa wakujenga nchi moja yenye umoja bila kujali tofauti zetu za kiitikadi. Tanzania ni yetu sote
View attachment 3371754
Mungu anaelekea kutenda hivi karibuni, kuna dude linakufa
 
Tujiepushe na kutaja watu mahali ambapo hatuna ushahidi. Kwa jinsi UCHAWA ulivyokithiri, upo uwezekano mkubwa wanaoyatenda haya wakawa hawana baraka za Rais. Ushauri wangu, tuyakemee maovu kwa sura yake. CCM ina watu wema kadhalika na wabaya wachache hawawezi kukosa. Chama chenye wanachama milioni 13 si rahisi kutokuwepo wachache waliokengeuka. Hao tukiwajua na kama kuna ushahidi tunaweza kuwataja. Vinginevyo sio busara kufanya mobb justice. Tunawakosea wana CCM wema.
Kifo ni kifo tu , kwel hajatoa baraka
 
CCM sio chama cha watu waovu. Ni chama cha ukombozi cha nchi yetu. Ni chama cha kijamaa na ni chama kilichobeba historia ya nchi yetu.
Nani alimua mzee Ally kibao na kwann?
Yupo wapi Ben sanane ? Kosa lake lilikuwa ninini???
Yupo wapi Alfonso Mawazo?
Anzory gwanda yupo wapi?
Nani alimua deusi soka?
Huyu ZCO mafwele ni nani ???
 
Umesema ww hili ni jina lako baada ya mimi kusema hii ni fake id. Lakini kwa hapa jf ili ifahamike ni jina lako halisi, inatakiwa iwe verified. Ni kweli uanachama haupimwi kwa umaarufu wako, lakini maoni yako yanapata uzito ama kuleta athari kutokana na umaarufu wako. Kinyume na hapo ww ni mfurahisha genge tu, na maoni yako unatakiwa ukayatolee kwenye vikao vya ndani sio humu jf.
Kwanza kuwa na maoni ni haki ya kiraia, haitokani na uanachama wa chama cha siasa. Ninao uhuru wa kuwa na maoni kwa CCM, CHADEMA, CHAUMA, ACT nk bila kuwa mwanachama wa vyama husika. Hakuna sheria inayopiga marufuku mtanzania kutoa maoni yake hapa jamii forum. Ningetaka kuyapeleka kwenye chama ningefanya hivyo, ila nimeyaleta hapa kwasababu nimeamua kuyaleta hapa full stop! By the way, umeyaelewa maudhui ya chapisho langu? Audience aliyekusudiwa ni nani? Kwa huo mtazamo wako, hakuna mtu angeanzisha mijadala hapa jamii forum, wote tungetakiwa tukajadiliane kwenye vyama vyetu. I think unahitaji kukua kidogo, hoja zako ni nyepesi sana.
 
Back
Top Bottom