Kesi ya ugaidi wa Mbowe: Uamuzi wa Jaji wa pingamizi la upande wa utetezi kesho unaweza kuja na haya....

Hili linaweza kuwa kweli maana zile antagonism wanazotoa tit for tat sio za mtu aliyesikia ushahidi papo kwa papo.
 
Sio kuiba Bali upande wa utetezi wanatakiwa waambiwe kabla ndo maana alipokuja yule shahidi wa sita nadhani baada ya yule dada wa Airtel kuchomoa alikataliwa lkn kwa vile ni maamuzi toka juu kukawa hakuna namna
 
Kwa hiyo mahakamani hakuna busara bali kuna sheria tu, zilizotungwa na akina Msukuma na Bajaji!

Kwa hiyo mahakamani hakuna haki bali kuna sheria tu? Unaweza ukawa sahihi. Tutaona kesho.
Tayari Jaji kaonesha kushindwa kufanya maamuzi mpaka akafanye consultation kwa Jaji kiongozi kwanza.
 
Sio kuiba Bali upande wa utetezi wanatakiwa waambiwe kabla ndo maana alipokuja yule shahidi wa sita nadhani baada ya yule dada wa Airtel kuchomoa alikataliwa lkn kwa vile ni maamuzi toka juu kukawa hakuna namna
Muuza mbege na yule wa Tourism walishawauza wale mawakili wa serikali.

sema hawa akina Kidandu hawana cha kupoteza as long as wao wanalipwa mamilioni ya advance
 
ameona asije akawaudhi wakubwa kwa maamuzi atakayofanya ndio maana kaenda kufanya consultation kwanza.
 
Yaani unataka kuhalalisha na hili pia? Kutumika miaka hata mia moja haimaanishi iendelee kutumika! Ni ujinga saan na kama kweli imekua ikitumika basi kuna watu watakua wamedhulumiwa haki zao kwa makusudi
Hata ile fomu ya PF3 inayotumika kupata matibabu hospitalini nayo imekosewa kifungu cha sheria kwenye mwaka wa marekebisho. Kwa logic yako hiyo ina maana watu wengi wamekuwa wakitibiwa kinyume cha sheria na hivyo kudhurumia haki zao?
 
Naam, na nasimamia hapo!! Unajua tukifumbia macho vitu kama hivyo tukavidogosha kwa kuviita typing error kuna siku itakuja kuigharimu nchi pakubwa.

Tusidharau wala kupuuzia
 
Akina Msando et al na kingereza chao cha ugoko.
 
Tatizo hapo ni kwamba kesi nzima inategemea ushahidi huo.Jaji akiukataa ushahidi, maana yake kesi nzima imeporomoka!

Hili ndilo tatizo linalomkabili jaji huyu, na hata yule wa kwanza Siyayi.
 
Akili za kichadema hizi,sasa kufunga mdomo unamkomoa nani jaji au? Si watajikomoa wenyewe jaji hakai mahabusu Wala jaji hakai jela,na ndio maana tunasema hii ni comedy ya mtaa wa ufipa
 
Yaani unataka kuhalalisha na hili pia? Kutumika miaka hata mia moja haimaanishi iendelee kutumika! Ni ujinga saan na kama kweli imekua ikitumika basi kuna watu watakua wamedhulumiwa haki zao kwa makusudi
Hata ile fomu ya PF3 inayotumika kupata matibabu hospitalini nayo imekosewa kifungu cha sheria kwenye mwaka wa marekebisho. Kwa logic yako hiyo ina maana watu wengi wamekuwa wakitibiwa kinyume cha sheria na hivyo kudhurumia haki zao? Hiyo fomu ya seizure certificate ndivyo ilivyo kwenye PGO za polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…