Kesi ya ugaidi wa Mbowe: Uamuzi wa Jaji wa pingamizi la upande wa utetezi kesho unaweza kuja na haya....

Sio kama wanaijua, sema wanaijua. Kwenye kesi hizi ni lazima kuiba taarifa kutoka upande wa pili. Kwamba shahidi anaefuata ni ni nani na anakuja na ushahidi gani?

Upande wa Jamhuri kuna wasamalia wanavujisha taarifa.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hili linaweza kuwa kweli maana zile antagonism wanazotoa tit for tat sio za mtu aliyesikia ushahidi papo kwa papo.
 
Sio kama wanaijua, sema wanaijua. Kwenye kesi hizi ni lazima kuiba taarifa kutoka upande wa pili. Kwamba shahidi anaefuata ni ni nani na anakuja na ushahidi gani?

Upande wa Jamhuri kuna wasamalia wanavujisha taarifa.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sio kuiba Bali upande wa utetezi wanatakiwa waambiwe kabla ndo maana alipokuja yule shahidi wa sita nadhani baada ya yule dada wa Airtel kuchomoa alikataliwa lkn kwa vile ni maamuzi toka juu kukawa hakuna namna
 
Kwa hiyo mahakamani hakuna busara bali kuna sheria tu, zilizotungwa na akina Msukuma na Bajaji!

Kwa hiyo mahakamani hakuna haki bali kuna sheria tu? Unaweza ukawa sahihi. Tutaona kesho.
Tayari Jaji kaonesha kushindwa kufanya maamuzi mpaka akafanye consultation kwa Jaji kiongozi kwanza.
 
Sio kuiba Bali upande wa utetezi wanatakiwa waambiwe kabla ndo maana alipokuja yule shahidi wa sita nadhani baada ya yule dada wa Airtel kuchomoa alikataliwa lkn kwa vile ni maamuzi toka juu kukawa hakuna namna
Muuza mbege na yule wa Tourism walishawauza wale mawakili wa serikali.

sema hawa akina Kidandu hawana cha kupoteza as long as wao wanalipwa mamilioni ya advance
 
H

Huoni comedy ya jaji kuanzia mwanzo mpaka ya leo? Hilo ni swala la kuomba siku nzima wakati reference zipo kibao.Ajitahidi mahakama iendelee kuheshimika.Otherwise washtakiwa wakiamua kufunga midomo kwa kutumia vitambaa vyeupe ni aibu kwa taifa la Tanzania.
ameona asije akawaudhi wakubwa kwa maamuzi atakayofanya ndio maana kaenda kufanya consultation kwanza.
 
Yaani unataka kuhalalisha na hili pia? Kutumika miaka hata mia moja haimaanishi iendelee kutumika! Ni ujinga saan na kama kweli imekua ikitumika basi kuna watu watakua wamedhulumiwa haki zao kwa makusudi
Hata ile fomu ya PF3 inayotumika kupata matibabu hospitalini nayo imekosewa kifungu cha sheria kwenye mwaka wa marekebisho. Kwa logic yako hiyo ina maana watu wengi wamekuwa wakitibiwa kinyume cha sheria na hivyo kudhurumia haki zao?
 
Naam, na nasimamia hapo!! Unajua tukifumbia macho vitu kama hivyo tukavidogosha kwa kuviita typing error kuna siku itakuja kuigharimu nchi pakubwa.

Tusidharau wala kupuuzia
 
Yaani kwa hoja za Mawakili wa Utetezi huyo Judge akichomoa this time around, nitaishushia heshima kabisa kada ya sharia. Nitaidharau sana sana, heri kuwa mganga wa kienyeji kuliko kuitwa Msomi usie msomi!

Elimu ya Tanzania itazidi kudharaulika, wanasheria walianza kudharaulika baada ya Kabudi kuongea ujinga mwingi Mara nyingi na Leo hii Law Society imebakiwa na nafasi hii tu narudia nafasi hii peke yake kulinda heshima ndogo waliyobaki nayo
Akina Msando et al na kingereza chao cha ugoko.
 
Leo kumejitokeza utata mwingine tena mahakamani kwa shahidi No. 8 wa Jamhuri Askari Polisi aitwaye Jumanne...

Kwamba, alipowakamata watuhumiwa na kuwapekua aka - seize [akachukua] mali za watuhumiwa kinyume cha sheria inayoongoza tendo hilo...

Sasa upande wa utetezi ume - OBJECT tendo hilo na kuitaka mahakama isiupokee ushahidi wa shahidi huyo kwa sababu umepatikana kinyume cha sheria...

Yaani utaratibu unamtaka aongozwe kutenda tendo hilo kwa sheria au kifungu cha sheria A yenye akatumia kifungu au sheria B. Hii kisheria inaitwa "wrong citation of the law..."

Jaji amepata home work nyingine tena. Je, atawabeba Jamhuri tena kama Jaji Siyani alivyofanya katika pingamizi la kwanza na kumpelekea ajitoe kusikiliza kesi hii...?

NINI KITATOKEA IWAPO UAMUZI UKAWA KINYUME CHA SHERIA?

Mnaukumbuka wito wa Godbless Lema wa kutaka mawakili wa M/Kiti Freeman Mbowe kujitoa ktk kesi ili Jaji ahukumu apendavyo yeye kwa kadiri ya kile kinachodaiwa kuwa "kupokea maelekezo toka juu...?"

Nadhani maamuzi ya Jaji kwenye OBJECTION hii yanaweza KUTIMILIZA HILI KESHO...!

Let's see and wait...
Tatizo hapo ni kwamba kesi nzima inategemea ushahidi huo.Jaji akiukataa ushahidi, maana yake kesi nzima imeporomoka!

Hili ndilo tatizo linalomkabili jaji huyu, na hata yule wa kwanza Siyayi.
 
H

Huoni comedy ya jaji kuanzia mwanzo mpaka ya leo? Hilo ni swala la kuomba siku nzima wakati reference zipo kibao.Ajitahidi mahakama iendelee kuheshimika.Otherwise washtakiwa wakiamua kufunga midomo kwa kutumia vitambaa vyeupe ni aibu kwa taifa la Tanzania.
Akili za kichadema hizi,sasa kufunga mdomo unamkomoa nani jaji au? Si watajikomoa wenyewe jaji hakai mahabusu Wala jaji hakai jela,na ndio maana tunasema hii ni comedy ya mtaa wa ufipa
 
Yaani unataka kuhalalisha na hili pia? Kutumika miaka hata mia moja haimaanishi iendelee kutumika! Ni ujinga saan na kama kweli imekua ikitumika basi kuna watu watakua wamedhulumiwa haki zao kwa makusudi
Hata ile fomu ya PF3 inayotumika kupata matibabu hospitalini nayo imekosewa kifungu cha sheria kwenye mwaka wa marekebisho. Kwa logic yako hiyo ina maana watu wengi wamekuwa wakitibiwa kinyume cha sheria na hivyo kudhurumia haki zao? Hiyo fomu ya seizure certificate ndivyo ilivyo kwenye PGO za polisi
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom