Vyovyote iwavyo:
1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu.
2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni.
3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga unga?
4. Jaji hawezi amua kielelezo hakifai na ilihali alisha amua huko nyuma nini kinafaa na nini kifanyike.
5. Ni kushusha hadhi ya mahakama na kuwafanya majaji wetu wote ni vihiyo kitu ambacho si kweli
6. Jaji kiongozo hapo ulipo ujitafakari sana.
7. Maelezo ya onyo CPA 169 kifungu 3- serikali/Jamuhuri inatakiwa kuthibitisha kwamba maelezo yalikuwa halali- Whoever alleges , has the onus to prove and si vingibevyo.
8. Watuhumiwa wote wanasema maelezo yao yalichukiwa sehemu moja, barua hiyo ingewafanya Jamuhuri walete vithibitisho maana ni kazi yao ku- prove and kudisi-prove na yanayosemwa na watuhumiwa- hii ndio njia pekee ya mahakama kulinda haki za mtumiwa. Mahakama iko pale kulinda haki za watu wote ikiwemo washtakiwa na washtaki.
9. mahakam ina uwezo wa kumuita mtu yeyote kwa summons (subponea) ili aje atoe ushahahi wa kile kinachosemwa au kuharalishwa documents za ushadihidi ziletwe mahakamani, sasa ni kwa ni ni huyu Tiganga kama si kihiyo asifanye hivyo ili kutatua kesi hii katika suala hili la diocuments na chain of custody?
10. Unaficha chain of custody ya polisi kwa maana gani haswa ? Iletwe na tuwajue pia mbona unawakingia kifua hao Polisi?
11. Tiganga (sukuiti Mheshima maana kwa maamuzi yako mpaka sasa, huo uheshimiwa haukufai), uwezo wako mdogo unazichafua mahakama zetu katika jumuia ya kimataifa- amua kwa haki, kisheria na kama common law legal system inavyo kutaka.
12. Fursa ya judge ni kuwa referee wa haki lakini mpaka sasa unaonekana ni referee wa upande mmoja, ni dhambi hata mbele ya Muumba wako-Jitafakari maana huna zaidi ya miaka 70 ya kuishi toka sasa, huko mbeleni utajibu nini mbele ya mtenda haki mkuu... Mola Muumba wako?
13. Mwishio-haya ni Maoni yangu, Povu ruksa kama mtanzania ninaye practice sheria katika mahakama za kimataifa, Judge asema documemt haikufuata chain of custody ... Ni kweli kwamba two wrongs do not make it right. Kwa nini sasa unazuia chain of custody ya police isijulikane... Unawasaidia kuficha nini hawa police?
Haki si tu itendeke bali ionekane inatendeka kwa walimwengu wote hata wale wasio kuwa na interest na kesi hii, ikiwemo mimi binafsi...