Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi

Hata kama ni wewe utakubali utende haki halafu familia yako ife njaa
 
We're ml
Yanayoendelea mahakamani, kwa kesi hii ya Mbowe na wenzake, ni kama vile stand up comedy

Kuna siku kutapambazuka tofauti. It won't be natural. Maisha hayataendelea hivi hadi kurudi kwa Messiah.

Wengi wanaojidhania leo kushikilia mpini, wasishangae kesho kujikuta kizimbani.

Yaliwakuta kina Awad Hamed al-Bander aliyekuwa Jaji mkuu zama za Saddam. Yupo alikuwa kisiki cha mpingo kuliko kina Saddam?

Machozi ya wenye haki hayakuwahi kupotea bure.
 
Hata kama ni wewe utakubali utende haki halafu familia yako ife njaa

Njaa gani waliyo nayo watu hawa wasiolipa hata kodi?

Kinachowasumbua mbona si njaa bali njaa iliyopitiliza?

Viwili hivyo ni tofauti sana.
 
Katika kesi hii majaji nao wamekuwa ni mawakili wa serikali.
Nimemshangaa sana huyu jaji, eti ni kweli hiyo sheria mliyotumia kuleta vielelezo vya ushahidi wa kesi hii haipo. Yaani mnawashitaki watu kwa kutumia sheria ambayo haipo, lakini wanaopinga hawajasema madhara yake, napokea ushahidi huo. Halafu pia anawasaidia mawakili wa mashitaka kuwapa madesa wayatumie halafu wamrudishie baadaye. Hii haikubaliki kabisa.
 
Wamenajisi mahakama kwa kweli sasa chombo huru sijui kipi ? Jeshi ? Daaaa katiba mpys....
Wachukuliwe hatua wote walioshiriki kunyofoa nyaraka hiyo, ni lazima kuna watumishi waovu wanaokula dili na ofisi ya DPP kufanya dhambi hii ya wizi wa HAKI - mahakama ijioshe kwa hili otherwise leo hii tutajua kama Mahakama kuu nayo imeshiriki dhambi hii ama laah.
 
Hi kesi, waTanzania watakacho ambulia ni kuona kwamba hi serikali haina aibu hata mahakama elisha tekwa na mhimili mgine, Jaji hata jambo ambalo liko wazi anahilisha kesi ili kupata consultation kwa wa ajiri wake, swali la kwanza angekua jiji huru ange hoji hi rejesita imefikaje hapa? na nani kaitoa? sio kuahilisha kesi tena
Yaani mimi namshangaa sana. Kila wakati ni kuahirisha kesi tu hata kwa jambo ambalo ni rahisi kabisa kuhoji. Kwanini asiwaulize nani kaenda kunyofoa rejista toka kwenye stoo ya mahakama?
 
Hivi kwani Mahakama haiwezi kulinda hadhi yake? Inakuwaje mtu anakuwa na ujasiri wa kwenda chumbani kwenye masjala ya mahakama na kuchukua nyaraka bila hata jaji mwenyewe kujua? Kwanini jaji asihoji hapo hapo nani kaingia masjala ya mahakama? Nani alim pa funguo akafungua stoo ya mahakama na kuchukua nyaraka bila ruhusa?
 
Wasi wasi wangu ni pale mahakama za chini zitaamua kufanya maamuzi kwa kunukuu yaliyomo katika kesi hii - hakika itakuwa ni majanga
Na akina Kibatala wanajua kwa mwenendo wa kesi ni kama watashindwa kwa amri kutoka juu ila wanaeka rekodi sawa ili siku Moja huko mbele maamuzi ya kesi hii yatafanywa rejea ya kesi ingine.
 
Hivi huyu Jaji kwa nini akina Kibatala wasiwasilishe hoja ya kutokuwa na imani naye?
Sikubaliani nawe, acha aendelee ili tuendelee kumjua kikamilifu. Na kesi iendelee ili mengi yazidi kuanikwa.
Suala la Lijenje halijaisha - mtu hawezi kutoweka kama unga unapeperushwa na upepo
 
Na ndio napenda tuendelee kufedheheka mbele ya uso wa dunia.Mtu mzima si umegoma kuchutama wakat dhahir shair umevuliwa nguo?.
Baki na aibu yako sasa.
 
Ni tuhuma nzito kwa Mahakama Kuu kutoa nyaraka yake kumpa shahidi bila kufuata utaratibu wa kisheria - hii tutaweka record ya kidunia Kwamba sisi wa TZ hakuna linaloshindikana, mchina sidhani kama ashafikia level hii.
 
Sikubaliani nawe, acha aendelee ili tuendelee kumjua kikamilifu. Na kesi iendelee ili mengi yazidi kuanikwa.
Suala la Lijenje halijaisha - mtu hawezi kutoweka kama unga unapeperushwa na upepo
Hivi inaingia akilini watu kuleta mashitaka na vielelezo kwa kutumia Sheria ambayo haipo? Hivi ni sahihi nyaraka ya mahakama iliyokuwa stoo kuikuta mikononi mwa mawakili wa mashitaka? Halafu yote hayo yanafanyika mbele ya mtu anayeitwa Jaji, na anayanyamazia tu
 
Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu.

Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza.

Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa tupo watanzania mamilioni nyuma yenu. Hawa wako katika kada zote, weledi mbalimbali na karama za aina zote. Tafsiri halisi ya maneno haya:

View attachment 2006502

Ni dhahiri kuwa ipo nia na mikakati ya dhati ya kuipora haki mchana kweupe. Mifano iko mingi na iko wazi.

Albert Einstein anasema:

“Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.”

Tunayo sababu ipi ya kutegemea majibu tofauti sasa?

Muhimu kujipanga kivingine. Muhimu kuendelea kukusanya ushahidi ukiwamo bora zaidi kila inapowezekana dhidi yao.

Wajumbe wa kujitolea kwenye haya tupo wengi. Tusipuuzie wala kudharau jambo. Twende kwenye uhalisia zaidi yakiwamo matumizi ya sayansi, kuwaumbua majambazi hawa wa haki:

View attachment 2006651

Tulete mashahidi zikiwemo video kutokea RAU madukani. Kama vipi mahakama iombwe kwenda sehemu zinazotajwa ikiwamo RAU madukani.

Mahita na kundi lake walipita kushoto na wenzao kulia. Eneo kulikuwa wazi na walipaki nyuma ya hilo banda. Waonyeshe Lijenje angeweza kutoweka vipi bila kuonekana.

Mahakama iombwe kutumia mamlaka yake kuwalazimisha kumleta Lijenje, wako naye.

Mahakama iombwe kushurutisha taarifa zozote kupatikana popote kwa mustakabala wa haki.

Mizunguko ya Kingai na kundi lake Moshi - Arusha - Moshi - Dar - Mbweni ithibitishwe siyo kwa maneno matupu.

Maneno matupu hayavunji mfupa na mkono mtupu haulambwi

Aluta Continua!

---------

Detention Register: Jaji Tiganga yuko Majaribuni - Kiza Kinene

(S.M.P2503 - credit kwako mkuu)
Kuna swali alitakiwa kuulizwa Mahita lakini Kwa vile Jumanne karudia maelezo yaleyale naomba ailizwe hata Leo katika kesi ndogo.
Wanasema walichelewa kuchukua maelezo Kwa sababu waliwachukua washtakiwa na kuzunguka nao kumtafuta mwenzao Lijenje, lakini Mahita na hata Jumanne anasema Mahita alitumwa kufanya surveillance kabla ya ukamataji na Kuwakuta wako watatu akiwemo Huyo Lijenje ambaye aliyeyuka maana Hakuna anayesema alipoteaje. Sasa swali; Kama Mahita alikuwa amefanya Surveillance na kama Askari aliwatambua washtakiwa wote ndo maana wakawakamata wale wawili, ilikuwaje waanze kuzunguka na watuhumiwa hatari wa ugaidi kumtafuta Gaidi aliyetoroka?
 
Ilikuwa muhimu mahakama ikahamia eneo la tukio mambo yote yakabainishwa.

Pana haki za watu hapa.

Washitakiwa walikuwa under surveillance.

Lijenje akapotea kama upepo?

Kingai and his team owe us clear explanations.
 
Hi kesi, waTanzania watakacho ambulia ni kuona kwamba hi serikali haina aibu hata mahakama elisha tekwa na mhimili mgine, Jaji hata jambo ambalo liko wazi anahilisha kesi ili kupata consultation kwa wa ajiri wake, swali la kwanza angekua jaji huru ange hoji hi rejesita imefikaje hapa? na nani kaitoa? sio kuahilisha kesi tena
## Hoja ya kutetea hili toka upande wa mashitaka + Jaji ni;

å SIYO Detention Register [D.R] iliingiaje mahakamani

å SIYO nani aliitoa

## Bali HOJA yao hawa jamaa ni kuwa, HAKUNA UBAYA kwa DR kuwa mahakamani bila kujali iliingiaje mahakamani kwa sababu ni reference halali ya kutumia wao kujitetea..!!

## Na upande wa utetezi wanadai D.R ni nyaraka iliyokwisha kutumika katika kesi nyingine ndogo ya Adamoo na kwa hiyo hiyo ni mali ya mahakama siyo ya upande wa mashitaka. Na kama walikuwa wanaihitaji tena kwa matumizi walipaswa kufuata utaratibu wa kisheria kuitoa huko na kuingiza tena mahakamani...

## Hiki ndicho kinachobishaniwa na Jaji aliahirisha kesi ili kupata ushauri wa namna gani ya kutoka ktk mtanziko huo na SIO SHERIA INASEMAJE....

Tusubiri tuone..
 
Hilo linajulikana ata ka layman halihitaji kuahilisha kisoma rejea za vitabu, hapo jaji alionyesha udhaifu mkubwa sanaa kwamba kuna watu nyuma yake, kbla ya kuamua inabidi awaulize mbona hilii hamkuliona sasa ni fanye je?
 
## Hoja ya kutetea hili toka upande wa mashitaka + Jaji ni;

å SIYO Detention Register [D.R] iliingiaje mahakamani

å SIYO nani aliitoa

## Bali HOJA yao hawa jamaa ni kuwa, HAKUNA UBAYA kwa DR kuwa mahakamani bila kujali iliingiaje mahakamani kwa sababu ni reference halali ya kutumia wao kujitetea..!!

## Na upande wa utetezi wanadai D.R ni nyaraka iliyokwisha kutumika katika kesi nyingine ndogo ya Adamoo na kwa hiyo hiyo ni mali ya mahakama siyo ya upande wa mashitaka. Na kama walikuwa wanaihitaji tena kwa matumizi walipaswa kufuata utaratibu wa kisheria kuitoa huko na kuingiza tena mahakamani...

## Hiki ndicho kinachobishaniwa na Jaji aliahirisha kesi ili kupata ushauri wa namna gani ya kutoka ktk mtanziko huo na SIO SHERIA INASEMAJE....

Tusubiri tuone..

Hilo ni moja. Kuna jingine pia:

"Mshitakiwa anasema hakuwahi kufikishwa central police Dar."

Detention register haikubaliki kwa sababu haina cha kufanya na Ling'wenya ambaye hakuwa kutia mguu central.

Busara zaidi inahitajika na hasa kuangalia ukweli na uongo wa mashahidi.
 
Back
Top Bottom