Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 760
- 1,423
Tuombeane na Mimi naona Hiyo chuki ikikua.Mungu tusaidie
Duu kingai?????Basi bwanaKingai Ni komando
Kingai ni komandoo wakula hela za watuhumiwa kala hela ya komandoo wa jwtz laki 260 ole wake jamaa atoke. Mbaya zaidi kule jwtz wezake hili jambo nadhani hawapendezwi nalo kabisaKingai Ni komando
Yaani Like Jitu Mungu alituondolea. Watanzania timpende Sana Mungu Kwa upendo wake.Mipango yote ya hii ilipangwa kipindi cha Kayafa,na walijua kesi ikienda Mahamakani Wananchi tutakuwa gizani kujua haya yote yanayotokea,kumbe Mungu fundi,sasa wanaumbuka.
Hii kesi ya Mbowe Ni kusudio Sana ili tujuwe maovu ya hao makatiri polisi
Umesema vema kuwa tunatofautiana. Wewe inaonekana umejichamganya sana kwa kutoelewa.Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Wakati mwingine wanapewa kesi ambazo wanazitetea lakini wanajua wameingizwa cha kike!Sio kweli kuwa mawakili wa serikali hawajui sheria, shida ni kesi wanayoiendesha. Fuatilia kesi ya Sabaya uone walivyochangamka. Tena mawakili wa Sabaya ndio wako na wakati mgumu sana
Fuatilia hiyo habari na link zake uone wanavyoupiga mwingi.
Mbaya zaidi wao wanaanza kushughulika na kesi wakati mambo ya unlawful arrest na utesaji yameshafanyika na polisi, na bado wanatakiwa kutetea yote hayo.Wakati mwingine wanapewa kesi ambazo wanazitetea lakini wanajua wameingizwa cha kike!
Kingai Ni komando
Ukiuasoma maswali ya wakili wa serikali hayaeleweki.Hata muheshimiwa jaji alikuonya mara kadhaa.Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Mkuu, hii ni point kubwa sana umeiongea.Si tu hvyo! Nadhan Kuna hati hati pia ya kuleta uhasama Kati ya jwtz vs PT endapo viongozi wasipokuwa makini!
Mkuu umekaa chini unawezaje kuchomwa bisibisi matakoni? Kama hilo linawezekana basi mwanamke mjamzito naye anaweza kutolewa bikiraKwenye hii kesi magaidi wamejulikana ,magaidi wanateka ,wanatesa ,kuchoma watu na bisibisi ,kuning'iniza ,kubambikia watu silaha na unga. Kwanza hawajafuata procedures za ukamataji ,hao ndo magaidi halisi ,raia wasio na hatia wametekwa na magaidi.
Dalili zinaonyesha Hawa ndo wasiojulikana maana njia zote walizotumia ndo hizo
huo ni utaratibu wa kawaida,kina kim kardashian wanalindwa na askari wastaafu wa jeshi la Marekani, ukiwa na pesa ushindwe wewe tuNchi hii kweli inamaajabu yake
Kama comandoo akageuka bausa wa kulinda hadi walevi
Ipo siku makomandoo wa kibongo watawalinda mpaka wakina ambar. Ruti,harmorapa,twaha kiduku,dula mbabe,wema sepetu...nk
Au huyu comandioo atakuwa comandoo mzee mstaafu..
Eheee comando,eehh comandoo., Comandoo tofari kichwani tiih..
KabisaLengo la hao WAHUNI akina Kingai na MAGENGE YAKE ilikuwa ni kumpoteza kabisa huyo Komandoo wetu, ndio sababu walitenda huo UHARAMIA kwa kujiamini namna hiyo. Mission iligeuka tu, walipotakiwa kumuunganisha Mbowe kwenye kesi.
Kwa matendo hayo ya KINYAMA NA HOVYO, kisasi hakiepukiki. Trust me, time will tell..