Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Lisu hakukamatwa!

Yeye anasema alipigiwa simu ya vitisho ndio akafungasha virago kukimbilia ubalozini!

Hakuna balozi yeyote mwenye ujeuri wa kwenda kumtoa mtu kituo cha polisi,

Walichofanya wale mabalozi ni kumsindikiza Lisu kutoka ubalozini hadi Airport basi!

Lisu hakukamatwa popote!

Alikuwa na hamu ya kurudi kwa Amsterdam ndio akatengeneza ile movie ili apate uhalali wa yeye kurudi ublegiji

..Baada ya uchaguzi Lissu alikamatwa huku maofisa wa balozi za ulaya wakishuhudia.

..Ni bahati kubwa sana kwa Lissu kwani maofisa hao walifuatilia na kuweza kumtoa korokoroni.

..Sielewi mabalozi walimtisha Magu na Sirro kwa kitu gani mpaka ikapelekea waufyate na kumuachi Lissu.

..soma hii habari hapa chini ili uthibitishe ninayokwambia.

 
Sio kweli kuwa mawakili wa serikali hawajui sheria, shida ni kesi wanayoiendesha. Fuatilia kesi ya Sabaya uone walivyochangamka. Tena mawakili wa Sabaya ndio wako na wakati mgumu sana
Fuatilia hiyo habari na link zake uone wanavyoupiga mwingi.
Kesi ya Sabaya ni nyepesi kiasi kwamba hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa sheria anatosha ....
 
Unalala usingizi because polisi na Majeshi yote ya ulinzi na usalama yanakesha

Naona umekua too comfortable sasa unadharau vyombo vya ulinzi

Ulitaka arrest za former special forces zifanye Kwa mwendo wa ice cream na marashi?

Fala Kweli wewe
Na wewe wakati mwingine tumia akili, kwani kukesha si KAZI yao walioichagua,? Na si wanalipwa mshahara,? Sasa inakuaje kumtesa mtu asie kuwa na hatia,

Some time tujivunze kuficha upumbavu wetu, haya ni Mambo ya kisiasa tu ,hakuna Cha UGAIDI Wala nini,
 
Kesi ya Sabaya ni nyepesi kiasi kwamba hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa sheria anatosha ....
You are half right. Kama ni nyepesi kwanini mawakili wa utetezi wanakosa majibu ya hoja kama za kutoka nje ya kituo cha kazi bila kibali cha msimamizi wake? Au hoja ya kukusanya mapato bila kibali cha kamishna wa TRA?

All I am saying is, hakuna ujanja ujanja kwenye sheria, facts za kesi ndio zinakubeba au kukukandamiza.
 
You are half right. Kama ni nyepesi kwanini mawakili wa utetezi wanakosa majibu ya hoja kama za kutoka nje ya kituo cha kazi bila kibali cha msimamizi wake? Au hoja ya kukusanya mapato bila kibali cha kamishna wa TRA?

All I am saying is, hakuna ujanja ujanja kwenye sheria, facts za kesi ndio zinakubeba au kukukandamiza.
Umenisaidia kuonesha jinsi kesi ilivyo nyepesi.... Polisi wanavuliwa nguo hadharani...

Ahsante sana
 
Huyu ni miongoni mwa Mabalozi ambao Mahudhurio yake kwenye Kesi ya UGAIDI wa laki 6 inayomkabili Mbowe na wenzake watatu haijawahi kutetereka , Ni huyo mwenye gauni zuri la bluu

View attachment 1950858

Ndiye anayetajwa kunusuru Uhai wa Tundu Lissu kwa kumpatia Kinga ya Ubalozi na kumsindikiza hadi Airport na kuhakikisha anapanda ndege kurudi Belgium , baada ya Spana za Kampeni za Ulioitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 kuwachanganya akili watawala .

View attachment 1950867
huo ni mguu au paja... !!!
 
Back
Top Bottom