Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?
Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo vijua kabisa.