Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

Ndugu zangu wana JF taarifa ambazo zimezagaa baadhi ni maeneo zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa Mbunge Godliblees Lema kushindwa kwenye kesi yake inayoeendelea na hivyo kupelekea kuvuliwa ubunge.
usiamini taarifa zilizozagaa baadhi ya maeneo kama ulivyosema.
Subiri iyo tarehe 4 ndo utajua nguvu ya umma na hao wakazi watatu wanaopinga ubunge wa lema ni nani mwenye maslahi ya umma.
 
Itakuwa aibu nyingine kwa magamba.kwa akuna uchaguzi watakaoshinda.people power watachukua tu jimbo
 
Jaji ndiyo mwenye kujua hizo radio mbao ziache kuingilia mwenendo wa kesi na kuathiri maamuzi ya jaji.
 
hakuna shida si uchaguzi utafanyika tena basi lazima wataelewa kama kusoma hawawezi hata picha hawawezi sio sawa tuone
 
CHADEMA hata wakinisimamisha mimi wa Kibaha pale Arusha nashinda.Wamvue ubunge Lema waone moto....na bado!
 
Hahaha ndoto za Alinacha hizi. CCM hawawezi kufanya kosa hilo...aibu ya Arumeru ni kubwa...Na hata akishindwa (kisheria), mwana CDM mwingine atalitwaa jimbo hilo.

Sasa ni wakati wa wakazi wa Morogoro, Ruvuma na Pwani nao kuamka...
 
Ndugu zangu wana JF taarifa ambazo zimezagaa baadhi ni maeneo zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa Mbunge Godliblees Lema kushindwa kwenye kesi yake inayoeendelea na hivyo kupelekea kuvuliwa ubunge.


Ha! ha! ha! ha! Kwa kuwa serikali ina mijihela mingi ya kumwaga katika uchaguzi na si za kutengeneza madawati kwa mashule yetu watengue tu ubunge wake! turudie tena kwenye uchaguzi yani itakuwa raha sana! sababu kwanza mihela ya mafisadi itarudi tena ars tutaifyeka kama kawa mwisho wa siku tunakomaa kwenye kulinda kura! wakilazimisha kutanganza yani pale pale manispaa tunaanza kuchoma Palace hoteli si mnajua ni Riz ha ha ha ! yani itakuwa raha! Mahakamaaaa! fanya haraka tengua hiyo mambo kampeni sije CCM waabike tena ha ha ha ha! yani hii itakuwa kali zaidi.

Mahakamaaa weee! jaji weeeee! tengua hiyo bana mifisadi ilete hela!

 
Kwa Arusha wanacheza hawa!
hIVI HATA aRUMERU HAITOSHI KUWAPA hint?
Hata wakimkatalia Lema kugombea, yeyote atakayewekwa atashinda bila hata kampeni!
Hatawakiweka picha ya mtu itashinda!
 
hakuna shida si uchaguzi utafanyika tena basi lazima wataelewa kama kusoma hawawezi hata picha hawawezi sio sawa tuone

Nami nakubaliana nawe. Kama jaji atataka kuwaaibisha CCM kwa mara ya pili mfululizo (yaani baada ya CCM kuaibika Arumeru) basi atoe hukumu ya kushindwa Lema na uchaguzi ufanyike. CCM itaambulia asilimai 5 ya kura! Mie naomba iwe hivyo! Please GOD!
 
Kama CCM bado akili zao zinafanya kazi basi waavoid kabisa hizi chaguzi ndogo maana ndiyo zitakuwa maziko yao!!! Mimi nasubiri Ukonga.............!!!!
 
hata ukifanyika uchaguzi mwingine na chadema wakamweka kamanda tofauti na lema, cdm itashinda kwa nguvu kuliko ilivokuwa 201
 
Back
Top Bottom