Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

Uchaguzi ukirudiwa hata mara 10 bado magamba hawana chao Arusha.
 
hakuna haki ktk mahakama za dot.com,ni kusikiliza tu mkuu na mtandao wake wameagiza nini..!:A S 39::A S 39:
 
Hata wakitengua matokeo tunamchagua tena. Nadhani magamba wanadhani sisi watu wa Arusha tunatania!!!
 
hata wamuweke jk kugombea ubunge na lema bado hawatachomoka, waache kupoteza muda na rasilimali tu.
 
Breaking Newszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Confirmed
Nimeipata toka kwa mtu wangu wa kariiiiiiiiiiiiiiibu
GODI-BURE-SI LEMA kwisha habari zake
Akaendeleze kashfa zake hukoooo mtaaani


Source of information please, other wise shut up ur .......
 
Duhh hawa jamaa kumbe walishajua. Aliwafundisha mchezo huu katika ule uchaguzi wa Zn 95.
 
Back
Top Bottom