Sidhani kama kesi hii ina masilahi tena kwa sisiemu. Kinachofanyika ni kukunja jamvi wasubiri 2015. Kesi hii ina implications kubwa sana kwa siasa za Tanzania na imani ya wananchi juu ya mahakama. In the future elections mahakama itakuwa irrelevant, watu wakiona wameonewa wanaingia mtaani badala ya kukimbilia mahakamni ambapo wanajua kuwa hawata tendewa haki.
Hii kesi ni kama Random walk around the court, "A blindfolded chimpanzee throwing darts at the ruling pages can select individual ruling as well as the experts that there were no legal arguments on this case to overturn the results." - A chimpanzee without legal training can upheld the election results in this case,
This was political circus conducted in a court room. Kutengua matokeo katika kesi hii ni sawa na referee kutoa penalty baada ya foul kufanyikia kwenye centre circle.