Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

Walete tu mechi nyingine, tena hii home-ground... Nahisi CCM wanaweza kutosimamisha mgombea.
 
Nahofia gharama tu za uchaguzi,ila solution labda ni kumuua,sababu wakimuacha hai atagombea na kushinda tena!
 
Hahaha machaliiiiiiiii ndo tukitaka yani ingewezekana kila siku iwe uchaguzi mpaka MAGAMBA yakapo toka yote madarakani.
 
Mi nadhani kesi ya Lema haina uhusiano na kuvuliwa ubunge!!!!! ni maswala madogomadogo ya kinidhamu. Hata hivo JF wasihofu hata likitokea hivyo, Arusha bado itachukuliwa na PIPOOOOOOOOOZ POWER
 
yaani sisi tunataka na uchaguzi wa rais urudiwe!! ndo mtaona utamu hivi hivi mnakuwa hamsikii utamu vizuri
 
amani nipo hapa ARUSHA waambieni magamba watengue ubunge wa LEMA HATA SASA HIVI HALAFU TURUDI UCHAGUZI HATA LIKISIMAMA PIPA yaani MKAPA ....CHADEMA ITAPETA TENA KWA KISHINDOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.....WE WE WE ACHAAAAAAAAAAAAA HIZO NDOTO ...HUKU NI KWA MACHALIIIIIIIIIIIIIIIIII WEWE...............UTAUMBUKAAA.....WEWE...................
 
Kesi haiamuliwi mitaani,tumwachie jaji tuone. La sivyo mtoa hoja atuambie basi kwa ushaidi upi utakao mfanya Lema ashindwe kesi.
 
Nami nakubaliana nawe. Kama jaji atataka kuwaaibisha CCM kwa mara ya pili mfululizo (yaani baada ya CCM kuaibika Arumeru) basi atoe hukumu ya kushindwa Lema na uchaguzi ufanyike. CCM itaambulia asilimai 5 ya kura! Mie naomba iwe hivyo! Please GOD!

Sasa Please GOD ya nini?
 
Wakifanya ujinga huo, wapata pigo ambalo hawajawahi kuliona!!! Wala msitishe shaka wajameni, CCM Arusha ipo ICU, sasa kama mtu yupo ICU anaanzisha vita jua anataka kufa tu.
 
CCM wanachekesha. Wangejua wanaapollo wanavyotamani uchaguzi ufanyike tena hapa Arusha wala wasinge jaribu hiyo kitu. Uchaguzi ukipigwa hapa lazima kinuke kwa CCM.
 
Sitoshangaa kama hilo litatokea kwani hata Jaji Mkuu ameshasema serikali inaingilia uhuru wa mahakama, na cdm kushinda uchaguzi arumeru mashariki (nafikiri) itabidi jaji ashurutishwe asome hukumu ipi ya kufuata sheria? au ya kufuata matakwa ya waliom-asign hiyo kesi. Mtu unatolewa Sumbawanga kuja kusoma hukumu ya kesi ya lema R Chuga? Anyway tarehe 5 april tutaona yote. Pipooooooooooz!
 
ha! Ha! Ha! Ha! Kwa kuwa serikali ina mijihela mingi ya kumwaga katika uchaguzi na si za kutengeneza madawati kwa mashule yetu watengue tu ubunge wake! Turudie tena kwenye uchaguzi yani itakuwa raha sana! Sababu kwanza mihela ya mafisadi itarudi tena ars tutaifyeka kama kawa mwisho wa siku tunakomaa kwenye kulinda kura! Wakilazimisha kutanganza yani pale pale manispaa tunaanza kuchoma palace hoteli si mnajua ni riz ha ha ha ! Yani itakuwa raha! mahakamaaaa! Fanya haraka tengua hiyo mambo kampeni sije ccm waabike tena ha ha ha ha! Yani hii itakuwa kali zaidi.

Mahakamaaa weee! Jaji weeeee! Tengua hiyo bana mifisadi ilete hela!


mahakama za bongo hazina uhuru. Tunakumbuka walivyoparaganya mgombea binafsi.
 
hata mie nimesikia hizo tetesi, next ni kwamba katibu wa chadema ndiyo atagombania hizo tetesi ndizo nimezisikia

hapo hamtupati! Mnataka kutuparaganyisha! Akivuliwa Ubunge ni atagombea tena hilo halina ubishi! Labda muamue kumfunga jela kabisa na atakayegombania kwa tiketi Chadema atahitaji baraka zake tu kuikamata Arachuga!
 
:tape2:CCM, hata km akishidwa kesi CHADEMA tunamsimamisha tena na atashinda tena kwa kishindo, chezea cdm wewe.
 
Ccm is a dying horse now! No wonder those are the last kicks of a dying horse but at the end it must die!!
 
Ndugu zangu wana JF taarifa ambazo zimezagaa baadhi ni maeneo zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa Mbunge Godliblees Lema kushindwa kwenye kesi yake inayoeendelea na hivyo kupelekea kuvuliwa ubunge.

acha uchaguzi mwingine uje.
it'll be a blessing in disguise kwani ni opportunity nyingine kwa chadema ku-showcase credentials zake towards 2015.

tusianze kuongelea mambo ya "ooh gharama"...bora kuingia gharama ya kuleta useful changes going forward kuliko kubania hela kwenye coffers huku hela hiyo ikiendelea kupekenyuliwa na kumeng'enyenywa na mchwa wanaoitwa tairo, etc.

bring them on!
 
Back
Top Bottom