Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

mimi nilisoma na watoto wa mahita pale kibo primary darasa la 2 na 3 nikahamia ar. arusha school baba yao akiwa rpc kilimanjaro na marehemu sita akiwa rc . mzee akiwa airline kia, mmoja wakiume na wakike siwakumbuki majina ila class dem alikuwa bright sana
Huyo Demu kamwe hawezi kuwa polisi.
 
Jina la mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki...
Mbona huongelei dada wa Lissu alivyokuwaga Mbunge? Mbona huongelei Mbowe shemeji wa Mzee Mtei muasisi wa Chadema kuwa Mwenyekiti wa kudumu Chadema?

Mbona huongelei Jesca kishoa mke wa Kafulila kuwa mbunge wa Chadema. Mbona huongelei mtoto wa Ndesamburo Lucy Owenya kuwa mbunge vitu Maalum Chadema? Mbona huongelei Joyce Mukya hawara wa Mbowe kuwa mbunge vitu maalum Chadema?

Kuna kosa gani mtoto wa Mahita kuwa askari?
 
Mwenyekiti mstaafu Edwin Mtei alimuachia mkwe wake chama na Uenyekiti. Tz yote ni moja na matendo yanafanana
 
Mbona huongelei dada wa Lissu alivyokuwaga Mbunge? Mbona huongelei Mbowe shemeji wa Mzee Mtei muasisi wa Chadema kuwa Mwenyekiti wa kudumu Chadema? Mbona huongelei Jesca kishoa mke wa Kafulila kuwa mbunge wa Chadema. Mbona huongelei mtoto wa Ndesamburo Lucy Owenya kuwa mbunge vitu Maalum Chadema? Mbona huongelei Joyce Mukya hawara wa Mbowe kuwa mbunge vitu maalum Chadema?

Kuna kosa gani mtoto wa Mahita kuwa askari?
Hizo kazi zakisiasa ulizozitaja nazenyewe wanaajiriwa kama kazi za ajira rasmi serikalini.Mbona unaweweseka hivi.maana ata mtoa mada hajasema ni vibaya mtoto wa mahita kua askari.umejishtukia tu.
 
mimi nilisoma na watoto wa mahita pale kibo primary darasa la 2 na 3 nikahamia ar. arusha school baba yao akiwa rpc kilimanjaro na marehemu sita akiwa rc . mzee akiwa airline kia, mmoja wakiume na wakike siwakumbuki majina ila class dem alikuwa bright sana
Watoto wake wawili wa kiume walishasoma Arusha pia
 
mimi nilisoma na watoto wa mahita pale kibo primary darasa la 2 na 3 nikahamia ar. arusha school baba yao akiwa rpc kilimanjaro na marehemu sita akiwa rc . mzee akiwa airline kia, mmoja wakiume na wakike siwakumbuki majina ila class dem alikuwa bright sana
Acha mzaha ,ngumu kusahau jina la Class met wako Ndugu
 
Back
Top Bottom