Ngoja tuone mwisho wake. Kuna mwangabele!Mimi CCM lakini kwa kuitazama tu hii kesi ya Mbowe kuna wajinga fulani nyuma ya pazia wanataka kumzidi mama Samia kete.
Na nahisi Mama kawaachia ili waadhirike wenyewe.

Yaani watu wanataka kuzidiana, na mama anawatazama ili waadhirike kwa gharama ya mateso ya watu kukaa gerezani, halafu baadaye DPP aje kuwa hana nia ya kuendelea na kesi?? Wakati huo huo hizo resources zinazotumika kuendesha hiyo kesi ni maumivu kwa watanzania. Bado tutasimama majukwaani kujinadi kwamba tunataka kuwaletea maendekeo watanzania, na watanzania bado "watatupigia kura kutuchagua"Mimi CCM lakini kwa kuitazama tu hii kesi ya Mbowe kuna wajinga fulani nyuma ya pazia wanataka kumzidi mama Samia kete.
Na nahisi Mama kawaachia ili waadhirike wenyewe.
Weka akiba ya maneno mkuu. Huu wimbo wa Mbowe gaidi, umeuimba sana, wakati mwingine jaribu kukaa kimya.Mtalia Sana na gaidi mbowe wenu
USSR
Huyo ni mtoto wa Mahita, sasa unategemea nini kutoka kwenye hiyo familia?Vyuo wanaenda kusoma kama geresha ili wapate vyeo tu. Lkaini kichwani wanabaki weupe vile vile.
Hiyo ndio hoja pekee uliyoiona?inamaana hujaona alivyowakamata watuhumiwa wakitembea?hahahahahaMbona huongelei dada wa Lissu alivyokuwaga Mbunge? Mbona huongelei Mbowe shemeji wa Mzee Mtei muasisi wa Chadema kuwa Mwenyekiti wa kudumu Chadema? Mbona huongelei Jesca kishoa mke wa Kafulila kuwa mbunge wa Chadema. Mbona huongelei mtoto wa Ndesamburo Lucy Owenya kuwa mbunge vitu Maalum Chadema? Mbona huongelei Joyce Mukya hawara wa Mbowe kuwa mbunge vitu maalum Chadema?
Kuna kosa gani mtoto wa Mahita kuwa askari?
Yule wa housegirl anasomeshwa na Nani?Watoto wake wawili wa kiume walishasoma Arusha pia
Wakili Matata naye ni matata kweli. Lakini zile kete wala bastola polisi inaonekana kama hawana tatizo nazo eti! Hii kesi ili kuepusha aibu zaidi kwa serikali waoindoe tu mahakamani maana haitawaacha salama!Wakili Matata : kwenye maelezo yako hujaelewa kuwa kabla ya nye kusachi watuhumiwa hujaeleza nye mlisachiwa na nani?
Hapo jibu lazima iwe ngumu maana inakuja picha wao ndo waliowawekea kete
Ugaidi tu ndo ingekuwa na mantiki ,madawa ndo yameharibu kabisa kwamba ni kesi ya kutungaWakili Matata naye ni matata kweli. Lakini zile kete wala bastola polisi inaonekana kama hawana tatizo nazo eti! Hii kesi ili kuepusha aibu zaidi kwa serikali waoindoe tu mahakamani maana haitawaacha salama!
MamayoMtanyooka tu hata kama walikuwa wanatembea au wanakula hai ni magaidi wameshaungia line
Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki.
Hapa inakuja picha bayana ni kwanini ni vigumu regime iliyoko kubadilika. Kila anaeshika madaraka anapandikiza wa kwake atakae washika mkono watoto wake miaka ijayo
Watoto wa makabwela hata mtoke na first class huko chuo kikuu, mtaendelea kupiga kura , kuna royals wameshaandaliwa kufanya maamuzi juu yenu iwe kwa kuteuliwa au kwa kuchaguliwa.
Tuna tabaka la wapiga kura na wapigiwa kura.
===
Shahidi wa kwanza ACP Kingai aliwakamata watuhumiwa wakati wakinywa supu
✍Shahidi wa pili Insp Mahita anasema waliwakamata wakati watuhumiwa wakitembea .
Tusubiri Shahidi wa tatu ....
@SuluhuSamia Sio aibu kuondoa hii fedhea Mahakamani.

Hakuna ubaya, mama mamako kuzaa na kakake.Kuna ubaya wowote mtoto wa Mahita kuwa polisi?
Mbona una kigugumizi?!Hakuna ubaya, mama mamako kuzaa na kakake.
Hao watoto wa makabwela ndio wengi wamo jamii forum wana roho mbaya kusifia tu ma boss wa ccm, na waliobahatika wapo hapo lumumba buku 7.Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki.
Hapa inakuja picha bayana ni kwanini ni vigumu regime iliyoko kubadilika. Kila anaeshika madaraka anapandikiza wa kwake atakae washika mkono watoto wake miaka ijayo
Watoto wa makabwela hata mtoke na first class huko chuo kikuu, mtaendelea kupiga kura , kuna royals wameshaandaliwa kufanya maamuzi juu yenu iwe kwa kuteuliwa au kwa kuchaguliwa.
Tuna tabaka la wapiga kura na wapigiwa kura.
===
Shahidi wa kwanza ACP Kingai aliwakamata watuhumiwa wakati wakinywa supu
Shahidi wa pili Insp Mahita anasema waliwakamata wakati watuhumiwa wakitembea .
Tusubiri Shahidi wa tatu ....
@SuluhuSamia Sio aibu kuondoa hii fedhea Mahakamani.
Course zingine za chuo kikuu ni kama walienda kutembea tuu..Huyu mahita pamoja na kwamba kasoma chuo kikuu lakini anajichanganya vibaya mno afadhali ya Kingai