Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,657
- 22,251
Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki.
Hapa inakuja picha bayana ni kwanini ni vigumu regime iliyoko kubadilika. Kila anaeshika madaraka anapandikiza wa kwake atakae washika mkono watoto wake miaka ijayo
Watoto wa makabwela hata mtoke na first class huko chuo kikuu, mtaendelea kupiga kura , kuna royals wameshaandaliwa kufanya maamuzi juu yenu iwe kwa kuteuliwa au kwa kuchaguliwa.
Tuna tabaka la wapiga kura na wapigiwa kura.
===
Shahidi wa kwanza ACP Kingai aliwakamata watuhumiwa wakati wakinywa supu
✍Shahidi wa pili Insp Mahita anasema waliwakamata wakati watuhumiwa wakitembea .
Tusubiri Shahidi wa tatu ....
@SuluhuSamia Sio aibu kuondoa hii fedhea Mahakamani.
Aliwakamata mlima Kitonga wakati wakiendelea kukata miti na kuiweka barabarani wakielekea Mbeya.