Kesho mafuta yatapanda bei?

Kesho mafuta yatapanda bei?

Ni wakati wa kutumia gesi yetu asilia na kuongeza soko lake ndani ya nchi

iwe agizo magari ya serikali yaongeze mfumo wa kutumia gesi

uwekezaji wa haraka katika vituo vya kujazia gesi vya serikali na vya binafsi

ruzuku kwa ununuzi wa vifaa vya mfumo wa gesi, au kuondolewa kodi na ushuru

tupambane na hali
 
Yapande tu huko watu fulani wanyooke
Nasema yapande tu

Ova
 
Ni wakati wa kutumia gesi yetu asilia na kuongeza soko lake ndani ya nchi

iwe agizo magari ya serikali yaongeze mfumo wa kutumia gesi

uwekezaji wa haraka katika vituo vya kujazia gesi vya serikali na vya binafsi

ruzuku kwa ununuzi wa vifaa vya mfumo wa gesi, au kuondolewa kodi na ushuru

tupambane na hali
Hiyo gesi sio yetu japo inatoka kwetu
 
Back
Top Bottom