Kuifananisha hiyo na risasi inategemeana na fikra zako binafsi.Hii ndo ufananishe na risasi?? 🤣
Ooh kumbe eeKuifananisha hiyo na risasi inategemeana na fikra zako binafsi.
Ila kwa ufanisi, hiyo imeua vifaru vya kutosha vya Urusi pale Ukraine kwenye vita inayoendelea. Raia wa Ukraine walitengeneza na kuitumia ili kuwasaidia wanajeshi wao ambao risasi zilikuwa zinawaishia nk.
Kulikuwa na helicopter inapiga doria mitaa ya kimara na mbezi, nikasema kumekuchaa
Wacha tuamini atakuwa alifika salama,, siku mbaya ilikuwa 30/10/25 hiyo ndo damu ilimwagika kwenye uso wa nchi hii huyu chura kiziwi ana roho ngumu sanaNamshukuru Mungu Sana
Kuna mwenzangu yeye alikuwa anaenda kitunda nawaza kama alitoboa maana yeye njia zake zilikuwa zilizochafuka
Yani awake namba tumuwekee chochote kitu,, kwa namna tunavyotema nyongo inatusaidia kupunguza maumivu tuliyonayo😂 mjini mipango asee
Sema tumshukuru max ameweza kubeba dhambi zetu huku if 🤣
Ilizunguka kama mara 3 hivi,, dar hawezi kutia mguu hivi karibuni saiv atakijua kigogo mbona,,Itakuwa maza yenu huyo hatumii ardhi kwa sasa
Oh kama ni hivyo basi liki malfunction hilo li helikopta akiwa angani itakuwa bomba sana.Itakuwa maza yenu huyo hatumii ardhi kwa sasa
Kuna mambo wengine tunayaona kwenye movie tu ukitafakari kuwa yametokea hapa kwetu akili inasizi,Bora niitwe mnafiki Ila kwakweli hapana
Pole Sana, sema next time pachunguze kwa makini.Nilikuwa na malengo yangu flani Ila walichonifanyia wale wahuni na malengo yakafa.
Kule hadi mjumbe ni kibaka
Af nyumba ilikuwa nzuri Sana na karibu na eneo langu.
Shenzi wale siwasahau
Na kesi ikabadilishiwa mpelelezi kwa makusudi... Wale na polisi wanajuana
Wahuni wana vutia bangi dirishani kwako, huna la kuwafanya zaidi ya kuomba watumie hekima 😂😁Hio ndio kazi ya dalali na udhaifu wa mtoto wa kike. Ameshawishiwa na akakubali unakuta kweli nyumba alipata kali na kubwa ila iko mazingira mabovu 😂
Alaf ile tarehe 30 ni kama walijua hatoki mtu maana palipoa kimtindo badae ndo pakachangamkaWacha tuamini atakuwa alifika salama,, siku mbaya ilikuwa 30/10/25 hiyo ndo damu ilimwagika kwenye uso wa nchi hii huyu chura kiziwi ana roho ngumu sana
Dah ndio maana una vurugu jukwaani, kumbe golani ndio maskani.Golani walijichanganya wakapita kufanya doria, mbona walikimbia na bunduki zao wakapita njia ya kwa Makofia ili watokee kinyerez, kufika kwa Makofia wakapita njia sio wakaingia mitaani zaidi, kuna ostadhi aliwaokoa kuwaonyesha njia wakageuza kurudi walipotoka, raia walishaanza kuwafungia njia ili wasitoke
Muhimu Sana aseePole Sana, sema next time pachunguze kwa makini.
Kama ni wa kule basi kuwa mpoleDah ndio maana una vurugu jukwaani, kumbe golani ndio maskani.
Kuna mmoja aliandika huenda wajeshi walipewa onyo kuachia njia wauaji wafanye yao, unampiga risasi mtu asie hata na kisu? Ni kama kumchapa fimbo mtoto wa mwaka 1,Alaf ile tarehe 30 ni kama walijua hatoki mtu maana palipoa kimtindo badae ndo pakachangamka
We ni mlamba asali,, kwahiyo waliouawa kwenye maandamano ni vibaka sio?Sipendezwi na yanayoendelea nchini ila Hawa vibaka waandamanaji wanatuferisha sana hasa sisi wasaka tonge,wanavunja maduka na mali zetu,so naona maandamano kama yanaturudisha nyuma kimaendeleo hasa sisi wapambanaji wa kila siku,, maandamano yakomeshwe maana wanaoandamana ni wale watu majobless,wahuni na vibaka ,,mtu mwenye kazi zake hawezi hatarisha uchumi wake kwA kuandamana
Wakipigwa za vichwa mnaanza kuliaGolani ni Darfur ya Tanzania
Alaf wana umojaa sijapata kuona. Kuanzia mjumbe Hadi raia
Weka alichopost,au unataka followersNendeni Facebook kwenye page ya Dr William Tanzania wa USA America kuna Mambo amepost