Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Asee Mimi nimechagua kubaki ndani.
Vita ya risasi Sina urafiki nayo.
Kama ikinifwata ndani au kwa kutekwa sawa Ila kuifuata big NO.
Watanganyika nwenzangu mtanisamehe katika hili.
 
😅😅
 
Ila wajeshi wamesaidia kupunguza maafa, mkundu ndo katuangusha, vijana wake nao hawamtaki maza
Me bwana nilikuwa nimeshuka tu toka mkoa... Tuliachwa kibaha ikabidi tuunge na boda ile naingia mbez nakutana na barrier kibao Mungu ndo anajua nilifikaje kisarawe.
Yani Yule msimamizi wao alikuwa anaongea vizuri na raia anawaasa kwa upendo. Sema alichokuwa a nakataa ni kupigwa picha.
Polisi walikuwa wamejaa kwenye gari 3 walikuwa wamenunaaa wamekunja uso wanwatamani raia sema ndo walikuwa wanasindikizwa na baka baka hawana Ujanja. Sasa wakisharudi tuu na kubaki pekeyao wanavyopiga mabomu na risasi hewanii
 
Ka edit chaaap
Wapi tena? Sijauza code popote, kipindi cha maandamano nilikuwa huko, nimetoka nimerudi la mboto, maana gharama ya vitu huko imepanda kupitiliza, nyanya 1 buku, nyama kg 1, 20000 akaaa nani anataka
 
Bado una maisha wengi wameuawa kwa namna hiyo ya safari, kuna binti alikuwa anatrend tiktok dreva wa malori nae si walimla shaba akielekea kwake, yani polisi walikuwa km wamepagawa,
 
Ulipoweka mtaa wako
 
Naona ulinzi mkali umeimarishwa jijini dsm, kunani?🤷🏿‍♂️
1000074532.jpg
 
Me bwana nilikuwa nimeshuka tu toka mkoa... Tuliachwa kibaha ikabidi tuunge na boda ile naingia mbez nakutana na barrier kibao Mungu ndo anajua nilifikaje kisarawe.
Yani Yule msimamizi wao alikuwa anaongea vizuri na raia anawaasa kwa upendo. Sema alichokuwa a nakataa ni kupigwa picha.
Polisi walikuwa wamejaa kwenye gari 3 walikuwa wamenunaaa wamekunja uso wanwatamani raia sema ndo walikuwa wanasindikizwa na baka baka hawana Ujanja. Sasa wakisharudi tuu na kubaki pekeyao wanavyopiga mabomu na risasi hewanii
Aisee!
Ungejua ungejipitia zako Makurunge, nafikiri kule kulikuwa salama.
Mungu ni mwema u salama🙏🏽
 
Bado una maisha wengi wameuawa kwa namna hiyo ya safari, kuna binti alikuwa anatrend tiktok dreva wa malori nae si walimla shaba akielekea kwake, yani polisi walikuwa km wamepagawa,
Namshukuru Mungu Sana
Kuna mwenzangu yeye alikuwa anaenda kitunda nawaza kama alitoboa maana yeye njia zake zilikuwa zilizochafuka
 
Aisee!
Ungejua ungejipitia zako Makurunge, nafikiri kule kulikuwa salama.
Mungu ni mwema u salama🙏🏽
Aah kupita njia ya Makurunge eeh
Sikuwa na wazo Hilo mkuu sema nashukuru nilitoboa
 
Saranga walipaogopa eeh
Alaf kule si pameungana na golani kwenye wahuni na vibaka walioshindikana
Golani walijichanganya wakapita kufanya doria, mbona walikimbia na bunduki zao wakapita njia ya kwa Makofia ili watokee kinyerez, kufika kwa Makofia wakapita njia sio wakaingia mitaani zaidi, kuna ostadhi aliwaokoa kuwaonyesha njia wakageuza kurudi walipotoka, raia walishaanza kuwafungia njia ili wasitoke
 
Golani ni Darfur ya Tanzania
Alaf wana umojaa sijapata kuona. Kuanzia mjumbe Hadi raia
 
Back
Top Bottom