kero za maboss! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kero za maboss!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Sep 6, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele wana chitchat.
  kwanza samahani maboss wote mliopo humu. .
  hata kama wewe ni boss jaribu kuwa na huruma kwa wafanyakazi walio chini yako. utakuta ofisini kwa boss kuna dustbin lakin anatupa taka chini, hata kama kuna mfanya usafi sio hivyo. kingine unakuta cabinet ya files ipo ofcn lakin atampigia messenger hebu njoo unipe hili file. je huo ndo u-boss? jamani inakera sana.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Mfukuze kazi huyo Bosi...
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo penyewe.
  CL Boss wetu ananishangaza sana.
  Hataki tuvae Skirt zilizovuka chini ya magoti.
  Anapenda aone tumevaa miniskirt tena zikiwa mapajani.
  Nachukia sana,sina tu pakusemea.
   
 4. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  enh unataka nikufukuze kazi asubuhi yote hii.. kwanza njo uniokotee pen hapa ofisin
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  khaaaaaa, wangu hataki atengenezewe coffee na yeyote zaidi yangu, kila siku hata kama nipo na meeting atapiga cm, niingie kwake nimtengenezee cofee, ananiboa kufa!
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Boss wangu ni whiteman,
  au ni wewe?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mimi nataka secretary wangu avae mini, halafu ofisini kwangu kuwe na confidential room. hapo nitakuwa natupa taka kwenye dustbin mwenyewe, na mafaili nitakuwa nachukua mwenyewe!
  tofauti na hapo atakoma!
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  tutamfukuzaje wakati ni boss kwetu wote?
   
 9. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  mi ndo whiteman mwenyew..
   
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh pole sana, lakin mbna hyo simple, kwan hapo kazini kwenu hakuna waislam wanaovaa hijabu? je kimaadili unaruhusiwa kuvaa miniskirk na mmeo? kha, me hakuna mtu wa kunipa masharti ya kuvaa kiajabu ajabu!
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh teh,
  Asa boss mwenyewe niko nae hapa,
  teh teh teh teh.
  Raha sana.
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  pole mpnz, kwani we ndo office assistant? c kuna wadada/wamama maalumu kwa ajili ya kazi hiyo? umewahi kumwambia kwanini asitengenezewe na huyo msaidizi?
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh, ningekuwa sectry wako hakika ungenifukuza kazi. kimaadili siruhusiwi kuvaa mini kwanini unilazimishe? mf.huyu boss wetu ofc yake imejitenga na ya kwetu lakini ukiingia utakuta katupa makaratasi chini tena pembeni ya dustbin. sa twajiuliza hv anakuwa haioni dustbin ama!
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Semea humo'humo!
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hahaaaa! kazi haukufukuzwi, ila lazima utavaa kwa masharti ya boss. huyo boss wenu labda hamkuelewana lugha ndiyo maana anawafanyia makusudi!
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hiyo ofc....hakuna nafasi za kazi...? katibu muhtasi kama ipo.....
   
 17. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  he hata kamamwanaume avae mini?
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hiyo sheria ya vimini si ndo boss keshaamua ! We piga mini .
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  sivai, kwanza ninapotaka kuomba kazi lazima niangalie je hyo kampuni ama shirika linafuata maadili. siwezî fanya kazi katika shirika linalodhalilisha utu wa mtu. na sidhani kuna kampuni ama shirika lenye policy inayowataka wafanyakaz wake kuvaa nusu uchi kwa hapa tanzania!
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh, ni ngumu kumesa! kwa sie ambao hatujazoea mini lol. . . .
   
Loading...