kero za maboss!

duh pole sana, lakin mbna hyo simple, kwan hapo kazini kwenu hakuna waislam wanaovaa hijabu? je kimaadili unaruhusiwa kuvaa miniskirk na mmeo? kha, me hakuna mtu wa kunipa masharti ya kuvaa kiajabu ajabu!

Wapo wavaao hjab tena mpaka na Nikabhu,
ila kama ukipenda kuvaa mavazi hayo,hakuna kubadili eti mara leo sketi kesho Hijab,NOOO!!!
Ndo hvohvo kila siku.
 
Wangu huyo boss mwambie tamkata

Hapo ndipo penyewe.
CL Boss wetu ananishangaza sana.
Hataki tuvae Skirt zilizovuka chini ya magoti.
Anapenda aone tumevaa miniskirt tena zikiwa mapajani.
Nachukia sana,sina tu pakusemea.
 
Kama we wa kike mpe mavituzi atatulia tu ila kama ni dume basi vumilia tu kwani mtaka cha uvunguni sharti ainame
 
Umnyime Boss vituz ndy kusema hutaki cheo ?
Na maa'alawans chekwa !
Mapande ya ku'selektiwa kwenye masemina, mawarsha na makongamano yenye posho za kifisadi .
Liwa vituz ufaidi neema ya nnji hii .
 
umnyime boss vituz ndy kusema hutaki cheo ?
Na maa'alawans chekwa !
Mapande ya ku'selektiwa kwenye masemina, mawarsha na makongamano yenye posho za kifisadi .
Liwa vituz ufaidi neema ya nnji hii .

si mchezo!
 
pole mpnz, kwani we ndo office assistant? c kuna wadada/wamama maalumu kwa ajili ya kazi hiyo? umewahi kumwambia kwanini asitengenezewe na huyo msaidizi?
nakwambia kuna wadada wawili tena, ila marufuku hao wadada kumtengenezea, ni mimi tu! nimemchokaaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom