kero za maboss!

Heshima mbele wana chitchat.
kwanza samahani maboss wote mliopo humu. .
hata kama wewe ni boss jaribu kuwa na huruma kwa wafanyakazi walio chini yako. utakuta ofisini kwa boss kuna dustbin lakin anatupa taka chini, hata kama kuna mfanya usafi sio hivyo. kingine unakuta cabinet ya files ipo ofcn lakin atampigia messenger hebu njoo unipe hili file. je huo ndo u-boss? jamani inakera sana.

huyo ni mvivu, mchafu na limbukeni........
 
Hapo ndipo penyewe.
CL Boss wetu ananishangaza sana.
Hataki tuvae Skirt zilizovuka chini ya magoti.
Anapenda aone tumevaa miniskirt tena zikiwa mapajani.
Nachukia sana,sina tu pakusemea.

na nyie mnakubali mnavaa? Loh....
 
khaaaaaa, wangu hataki atengenezewe coffee na yeyote zaidi yangu, kila siku hata kama nipo na meeting atapiga cm, niingie kwake nimtengenezee cofee, ananiboa kufa!

hahahaaaa mkemwenza umenikumbusha miaka kadhaa nyuma, kuna bosi wangu mmoja alikuwa anataka nimtengenezee chai.... Siku moja asubuhi nikachukua job description nikamwambia anionyeshe wapi waliandika kukoroga chai...... I see nilikuwa mkali that day, toka siku hiyo kazi za kipuuzi zikakoma
 
sivai, kwanza ninapotaka kuomba kazi lazima niangalie je hyo kampuni ama shirika linafuata maadili. siwezî fanya kazi katika shirika linalodhalilisha utu wa mtu. na sidhani kuna kampuni ama shirika lenye policy inayowataka wafanyakaz wake kuvaa nusu uchi kwa hapa tanzania!

we hujui kuvaa mini ni ku - advertise kipaji na kuwa motivated? lakini kama huna mguu kataa kabisa kuvaa mini, manake unaweza kuwa kero!
 
we hujui kuvaa mini ni ku - advertise kipaji na kuwa motivated? lakini kama huna mguu kataa kabisa kuvaa mini, manake unaweza kuwa kero!

tatizo sio mguu. n-way ni mtazamo tu binafsi. bt me nahc mtu huwa motivated kutokana na ku-work hard na sio kuonesha maungo yake! NAWACHUKIA SANA WADADA WANAOVAA BLOUSE / TOP ZINAZOONESHA MAZIWA YAO. . .
 
khaaaaaa, wangu hataki atengenezewe coffee na yeyote zaidi yangu, kila siku hata kama nipo na meeting atapiga cm, niingie kwake nimtengenezee cofee, ananiboa kufa!

Tobaaaa shemeji! Khaaa
 
hahahaaaa mkemwenza umenikumbusha miaka kadhaa nyuma, kuna bosi wangu mmoja alikuwa anataka nimtengenezee chai.... Siku moja asubuhi nikachukua job description nikamwambia anionyeshe wapi waliandika kukoroga chai...... I see nilikuwa mkali that day, toka siku hiyo kazi za kipuuzi zikakoma

duh,uko fit mamie hadi nakutamania. . . ulimkomesha!
 
my dear charminglady ntakupumzisha, mi nadhani ndo muda nikuanzishie kimradi uwe huru, sipendi boss anavokusumbua
 
Last edited by a moderator:
poleni wadada.. Najua mnakutana na kero nyingi sana ila hata haya yote yatapita kwa hiyo msiogope
 
ofisi zingine bwana....bosi ananyolea ndevu ofisini...na huwezi kumuuliza.wengine sigara kwa sana,hadi kero....wenngine ndo wanakufanya messenger kwa shughuli zao binafsi(eg,kwenda kumlipia mtoto wake ada,kumngoja ndugu yake bus stand na kadhalika)....zote hizi ni kero....lakini kama huna kazi nyingine ,na hapo ndo unategemea chakula cha watoto ...itabidi tu ufanye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom