wakuu mimi nilidhani ni mimi mwenyewe, kuhusu (star tv)
hakika kwa sasa wanacheza ngoma ya chama cha mapinduzi,
si,kwenye magazeti tu, hata taarifa zao za habari, ni hovyo kabisa zote ni habari za ccm,
**** kuna mtu aliangalia star tv kuanzia jumamosi iliyopita,
walikua na kipindi kilichoitwa (WATANZANIA WANA AMUA)
chakushangaza ni kwamba ichokipindi kilikua mahususi kwa ccm juu ya kura za maoni, hata pale walipotoa taarifa za vyama vingine ni kwa ufupi sana tena za UKAWA zilikua ni marufuku,
mimi sasa hivi siiangalii tena star tv nimehamia kwa wazalendo wa kweli, itv,chanel ten,Azam tv, na kwa upande wa radio ni magic fm, radio 1,
TV HIZI NI SUMU WEKA MBALI NA WATOTO:
1: TBC1
2: STAR TV
3:CLOUDS TV
HIZI NI SUMU WEKA MBALI NA WATOTO,