Mko wangapi hadi msuse watu wenyewe wenye kelele hata milioni hamfiki
kaka acha hasira. Apart from tbc, every private media is free to affiliate itself with a party of choice. Hata huko kwa wenzetu iko hivo. Just because hawa ipi ipaumbele CHADEMA yako usijaribu kulazimisha mambo. Hii ni free world, Kama hupendi unachokitazama, vidole vyako viko huru kubadilisha channel.
Nimeshangazwa sana na hatua ya msoma magazeti wa leo kusoma tu habari za mgombea wa CCM kwa kila gazeti na kupuuzia kabisa kusoma habari za wagombea wengine