Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

kwa sasa kinamilikiwa 100% na Chama Cha mapinduzi, + Uhuru + Mzalendo = vombo vya ccm.
 
Na redio free leo niliifungulia bahati mbaya nasikia wanapiga ji songi la CCM mbele kwa mbele mbaya sanaaaaa

mmiliki wake anachuki na lowassa, pindi lowassa alivyokuwa waziri mkuu alimtimua kazi kwa sababu za udokozi.
 
Wana jukwaa,
Pamoja na ugumu wa TBC kusikika maeneo mengi ya nchi yaonyesha wazi ilivyo biased katika kutuhabarisha ipasavyo kuhusu mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015.

Hivi ni wagombea wa CCM TU NDIYO WANAOFANYA KAMPENI WENYEWE NA KUSEMA?

Tuitake TBC itutendee haki Habari ni haki na hasa kwa sisi tunayoilipia kuwepo.

Ndugu yangu kama upo sehemu ambayo haina redio mbadala basi hesabu maumivu, hiyo siyo redio ya kutegemea
 
TBC ni shirika la umma linaloendeshwa kwa kodi za wananchi wa tanzania! naomba Chadema ikiingia madarakani Imfukuze kazi mkurugenzi wa TBC,
Na kuwastaafisha wahariri wa habari wote, pamoja na watangazaji!kwa kukiuka sheria ya matumizi ya vyombo vya umma!
Itangaze kazi upya hawa watangazaji bado wana uradio tanzania (RTD)hawana uweredi katika nyanja ya Habari wamesahau ni rahisi kupata Habari kirahisi kuliko wanavyotegemea.
Ni watu wa ainayake wanakera hadi basdi maana wamebaki kufanya kazi za CCM badala ya kubalance habari za vyama vyote!
 
Wanaogopa kumwaga UGALI wao.ALiyeweza kufanya maamuzi magumu ni TIDO MHANDO peke yake,wengine hawana UBAVU.
 
TBC ni shirika la umma linaloendeshwa kwa kodi za wananchi wa tanzania! naomba Chadema ikiingia madarakani Imfukuze kazi mkurugenzi wa TBC,
Na kuwastaafisha wahariri wa habari wote, pamoja na watangazaji!kwa kukiuka sheria ya matumizi ya vyombo vya umma!
Itangaze kazi upya hawa watangazaji bado wana uradio tanzania (RTD)hawana uweredi katika nyanja ya Habari wamesahau ni rahisi kupata Habari kirahisi kuliko wanavyotegemea.
Ni watu wa ainayake wanakera hadi basdi maana wamebaki kufanya kazi za CCM badala ya kubalance habari za vyama vyote!

TBC hawanakosa wapo sahihi sana, watabalance vp kinyume chake wamfagilie fisadi na genge lake labda. Wanajitambua sana, kwani ukiwa walipoacha issue za ufisadi ulilizamisha taifa na kupokea balioni ya kuhongwa na mafisadi walitaka tv ya taifa iwabebe? TBC mpo vizuri endeleeni mawakala wa majizi tu ndio watawachukia ambao ni wachache lkn wapenda haki tutawapigania. KURA YANGU NI KWA MAGUFURI.
 
Je wanakusanya kodi ya akina nani?
Je Kikwete ni Fisadi?
Je Tido naye fisadi?
Je tume ya uchaguzi nao ni Fisadi kumpitisha fisadi?
Je Star tv na TBC katika nchi hii ndiyo siyo fisadi?
oooooo kumbe namwandikia mtu ambaye kajitoa ufahamu wa demokrasia

Katika wanaotumikishwa na CCM ni mkurugenzi wa TBC
 
Yaani rais Lowassa angekuwa na visasi kama aliyepo, ningemshauri akiapishwa kazi ya kwanza iwe kumtimua mkurugenzi wa TBC...
 
Back
Top Bottom