Tungekua kwenye mfumo wa chama kimoja sawa,ila kwa sasa ni vyama vingi,halafu TBC haiwajibiki kwa CCM inawajibika kwa umma.Maana inaendeshwa kwa pesa za umma ambazo zinatokana na wana CCM,CDM,vyama vingine na sie tusio na vyama.Kila mwaka hutengewa bajet na SERIKALI.Ikitokea CCM wanawapa hela kufanya nao kazi sawa ila kuhusu usaea wa kurusha habar haipasw kuwa biase.Kiukweli wapunzani kwa afrika wana changamoto sana si kidogo ila ndo hvyo tena.Umemjibu vizuri sana..Hili ni shirika la umma,wanapaswa kuripoti habari zote kwa usawa bila upendeleo.BBC ,DW,France24 na nyingine nyingi ni mifano.Yaani HAWA TBC wao wamejichukulia kututangazia habari za CCm tu.Ni kuwabrain wash wa Tz,something that I doubt if its working this 2015.
Wafanyakazi wote wa TBC anzeni kufungasha bado miezi mitatu tu MNAFUTWA KAZI WOTE HAPO.... kuhusu mafao msijali.
Yoote haya ukijumlisha ni Mihemko ya Kisiasa tu.
Wakionyesha Mipira huwa hatusemi kitu.
Vyama vianzishe TV stations zao,watu wamekula ruzuku kubwa,badala wachangishane waanzishe kituo kila mmoja anatafuta chochocro akale na wakwao
kwa sasa televisheni ya taifa ni Azam tv ikishirikiana na tv hizi Itv, na channel ten
mkuu kodi yako ndo inaendesha TBC, sio hela za CCM, ungejua nn maana ya Serikali usingejibu hivyo,kwa akili yako unamaanisha Serikali ni CCM(Chama kilicho madarakani).....woop mahfu....Sasa ww ulitegemea warushe habari za ukawa au chadema tambua kuwa TBC ni kituo kinachomilikiwa na serikali iliyopo madarakani na serikali iliyopo madarakan ni ya ukawa au ya chadema nauliza kwako mleta uzi? Lazima iwe ya chama kilichopo madarakani kwhyo usiumie subiri kama na ww utapata mamlaka ya chama chako kuwepo mjengoni pale mtayatekeleza yakwenu kwa xx achen tu ccm ifanye inavyotaka hupend usifungulie tbc
Sasa ww ulitegemea warushe habari za ukawa au chadema tambua kuwa TBC ni kituo kinachomilikiwa na serikali iliyopo madarakani na serikali iliyopo madarakan ni ya ukawa au ya chadema nauliza kwako mleta uzi? Lazima iwe ya chama kilichopo madarakani kwhyo usiumie subiri kama na ww utapata mamlaka ya chama chako kuwepo mjengoni pale mtayatekeleza yakwenu kwa xx achen tu ccm ifanye inavyotaka hupend usifungulie tbc