Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

star tv walikuwa wako vizuri ila baada ya mtu wa kanda hiyo wameamua kujielekeza huko ila tutajua tu ngoja kampeni zianze

Lakini pia mwenye star tv si ndio mwenyekiti wa CCM wa mkoa fulani kanda ya ziwa.
 
Mi star tv tbc siangaliagi local newz.star tv naangalia michezo na bbc swahili tu.hizi ni miongoni mwa media za hovyo kuwahi kutokea katika sayari ya dunia

Yaani mkuu hujadanganya,ila tbccm imeshinda vyote vibaya chini ya jua"tbc ni shetani,na wanaoiangalia ni mashetani"
 
Mmiliki wa Start TV ndg ANTHON DIALLO uwenda akawa anatafuta tena kurudisha jina lake kwny ramani ya CCM maana lilishafutika.
Ndiyo maana baadhi ya wafanyakazi wake wanaoonekana kuunga mkono mabadiliko, mikataba yao ikiisha hugoma kuwaongezea.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo liko TCRA ambao ndiyo wasimamizi wa hivi vyombo vya habari, kuna sheria kabisa mahususi kwa ajili ya kusimamia fairness ya vyombo vya habari kwenye uchaguzi. Nadhani TRCA hawafanyi kazi yao vizuri bado wamelala hawajajua kama tayari tuko kwenye uchaguzi. Naamini wakiona haya malalamiko watalifanyia kazi na hata vyombo vya habari wanajua penalt yake ni kubwa

kama kuna mtu anaweza kulifikisha hili TCRA walitolee maelezo anaweza kufanya hivyo naamini watalishughulikia.
Jana ITV wamefanya balance nzuri sana kwenye habari za uchaguzi na ndivyo sheria inataka wafanye.
 
Tcra ipi? Hii ya mashetani au,mkuu njia ni moja kugoma kuangalia hizo tv za kishetani
 
Television ya taifa inasimamia masilahi ya Taifa, siyo masilahi ya Mbowe, Mtei na hii biashara yao haram ya mafisadi

Kuwa mtumwa wa Mbowe na genge lake si ndio laana

Piga full suit ya kichaga. Chagadema, Mengi chaga itv, na ulale kwenye guest house za Ndesamburo

Hao Wachaga na uwizi wao Safari hii tunawachinja milele

Eehee huyu mama, hata mtoto anamshinda

Comments zako zinaakisi sura ya avatar yako, ambayo nayo inaakisi udogo wa ubongo wako..
 
Namshaur magufuli akiingia ikulu aanze na itv kwan hichi kituo n tatzo kinaukabila wa hali ya juu, ZZK alikua akifanya mikutano mikubwa lkn haikurpotiwa kinaubaguz wa hali ya juu
 
GOVERNMENT NOTICE NO. 430 published on 23/12/2005
THE BROADCASTING SERVICES ACT, 1993(No. 6 of 1993)
____________
REGULATIONS
____________
THE BROADCASTING SERVICES (CONTENT)REGULATIONS, 2005

Political partybroadcasts

7.(1) During election campaigns, every broadcaster shall givereasonable and equal opportunities for the broadcasting ofelection campaigns to all political parties contesting the election.
(2) Every broadcaster shall be guided by the Code on Political PartyElections Broadcasts issued by the Authority.
 
Ni kweli, name binafsi nimefatilia suala hili kwa wiki kadhaa...afadhali hata Star Tv wanaonesha, TBC hata kwenye maandishi ya chini hayaonekani hasa kwa habari zinazohusu upinzani..na sasa nina ma mwaka sijakaa seriousl kungal vipindi ya TBC wakati wa ilikuwa nzur sana hikuwa na bias
 
Umepanic kijana, hujui Str tv ni private?
 
Televisions

Itv, Channel 10 na Azam tv wanajitahidi kuwa fair.

Star Tv+ TBC naona wao ni pro CCM tu, bila aibu wanapendelea, its up to them lakini his issues ni so divisive. These are public stations and not for one party.

Tunawashukuru sana social media jamii forum, openness and free thoughts.

Kuna baadhi ya magazeti yanatumia uzushu, udini, propaganda nk. It's so dangerous.

Suggestions:

Busara, ueledi, taaluma, sera na hoja vitawale. Pls. Ole wenu waandishi na mafarisayo yaonya biblia.

Otherwise mnaweza mka declare kwamba hii ni CCM media, vyombo vya habari ni mhimili muhimu katikaaendeleo vikitumika vizuri.

Zingatieni taaluma acheni siasa.

Star TV sio ishu, as its a private media, na mmiliki wake ni kada wa CCM, so kwa namna moja ama nyingine, wana uhuru wa kuwa na uelekeo fulani wa kiitikadi katika siasa. Ila kwa TBC1 ni makosa kuonekana wakishabikia chama fulani as hiyo ni mali ya umma, inaendeshwa kwa kodi za wananchi wote kwa ujumla wao bila kujali wanatoka chama gani.

Hii kasumba ni ya muda mrefu saana, nafikiri sababu kubwa ni kwamba wakati tunaanza siasa ya vyama vingi, vyama vya upinzani vilionekana kama maigizo tu, uhalisia ni kwamba bado tulikua tunaendeshwa na mfumo wa chama kimoja huku tumejifunika bendela ya vyama vingi. Kama utakumbuka siku kuu ya Saba saba, its essentially siku kuu ya kichama, lakini ilikua ikisherehekewa kama siku kuu ya kitaifa, mpaka majuzi watu walipopata mwamko na kuipinga ndio ikafanywa siku kuu ya wafanyabiashara.

Kwa tuliosoma kwenye public schools, kuna kipindi tulikua tukiimba nyimbo za CCM kama sehemu ya nyimbo za shule, nakumbuka hata bendela ya CCM ikipandishwa au kushushwa tulilazimika kusimama kama vile tufanyavyo bendela ya taifa, ila sasa hali imebadilika, vyama vya siasa viko at their best, yale maigizo ya bunge lenye ratio ya CCM to Upinzani 84% to 16% yanaelekea mwishoni, soon tutakua na bunge lenye ratio ya 46% to 54% respectively. Hapo utaona kama TBC1 wataonesha affiliation na chama.
 
Mkuu hapo kwenye Red siyo sahihi, kuna sheria inawalazimisha broadcasters wote regardless ni private au public kuwa balanced kwenye habari za uchaguzi. Nimeweka hiyo sheria kwenye post zang huko juu.
 
Televisions

Itv, Channel 10 na Azam tv wanajitahidi kuwa fair.

Star Tv+ TBC naona wao ni pro CCM tu, bila aibu wanapendelea, its up to them lakini his issues ni so divisive. These are public stations and not for one party.

Tunawashukuru sana social media jamii forum, openness and free thoughts.

Kuna baadhi ya magazeti yanatumia uzushu, udini, propaganda nk. It's so dangerous.

Suggestions:

Busara, ueledi, taaluma, sera na hoja vitawale. Pls. Ole wenu waandishi na mafarisayo yaonya biblia.

Otherwise mnaweza mka declare kwamba hii ni CCM media, vyombo vya habari ni mhimili muhimu katikaaendeleo vikitumika vizuri.

Zingatieni taaluma acheni siasa.

Sina tatizo na Star TV. Hii inamilikiwa na mtu binafsi na wafanye wapendavyo ila wazingatie maadili. Tatizo language ni hii TBC

ambayo tunaimiliki wenyewe na inaendeshwa kwa kodi zetu!
 
Sidhani kama hilo ni tatizo sana sie tusonge mbele, milango iko mongi ya kuingilia na kutokea....🙂
 
Back
Top Bottom