Televisions
Itv, channel 10 na azam tv wanajitahidi kuwa fair.
Star Tv+ TBC naona wao ni pro ccm tu, bila aibu wanapendelea, its up to them lakini his issues ni so divisive. These are public stations and not for one party.
Tunawashukuru sana social media jamii forum, openness and free thoughts.
Kuna baadhi ya magazeti yanatumia uzushu, udini, propaganda nk. It's so dangerous.
Suggestions:
Busara, ueledi, taaluma, sera na hoja vitawale. Pls. Ole wenu waandishi na mafarisayo yaonya biblia.
Otherwise mnaweza mka declare kwamba hii ni ccm media, vyombo vya habari ni mhimili muhimu katikaaendeleo vikitumika vizuri. Zingatieni taaluma acheni siasa.