Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,345
- 25,199
Eeeeh bruh ina mseseweUmeitia magome ya msesewe? Maana sitaki kitambi liniote 😀
Eeeeh bruh ina mseseweUmeitia magome ya msesewe? Maana sitaki kitambi liniote 😀
Ewaaah! Nakuja sasa.Eeeeh bruh ina msesewe
Karibu mbeEwaaah! Nakuja sasa.
🔥💪Karibu mbe
Je wajua leo ni kumbukizi ya miaka kadhaa tangu princess diana atutoke duniani?🔥💪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Matangazo ya ndoa
Tangazo la ndoa kwa mara ya pili,
Supapawa mwana wa Monetary doctor na masai dada anatarajia kufunga ndoa na binti mamnyong'ode Seran mwana wa Amell na Hanschoice
Ndoa yao itafungwa Trh 4-9-2026 parokia ya mavurunza jijini Dsm
Swali zuri sanaMuda wote huo mnafanya nini?
Yeah! Asubuhi niliona uzi. Ila Diana alikuwa mkali! Alale mahala pema peponi.Je wajua leo ni kumbukizi ya miaka kadhaa tangu princess diana atutoke duniani?
Apumzike kwa amani princess DianaYeah! Asubuhi niliona uzi. Ila Diana alikuwa mkali! Alale mahala pema peponi.
Amen!Apumzike kwa amani princess Diana
Ndio hasa dhamira ya kutakiana amani, na hapo iliwakuta wahusika halisi 😃Kuna jamaa tuligombana sana,basi yeye ni mkatoliki tulihudhuria misa ya ndoa ,tukawa tupo benchi moja nikasikia tutakiane aman ,jamaa hakuwa na jinsi akanipa mikono
😄😄😄Huku Kwa walokole
Inapigwa pambio Kanisa zima linazunguka kutakiana heri hata round mbilimbili.
Labda aende kwa waadventist.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣WE BABA UNA ROHO YA KISHETANI HATA KANISANI KOMA IWE MWIKO KWENDA USIJE TENA.
WATU TUSITAKIANE MEMA? TUSIJULIANE HALI? TUSIFUNZWE?
WATU TUMEKENGEUKA SANA SIKU HIZI TUMEKUWA WANYAMA
WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
au macho yangu jaman, mim naona mbuzi wawil pichanHuyo anapiga maombi, sielewi una maana gani mbuzi yuko wapi?
MILELE AMINA🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tumsifu Yesu Kristo
Hataki amani kabisa, hawa ndo wale wanatunyima Lift tusio na magari, hawarukaribishi makwao na Jumuiya wanatuweka karibu na mabanda ya kuku tusikie harufu za mavi ya kuku tuumweKipengele cha kutakiana amani kipo kote ht morovian atakikuta
Labda makanisa ya kilokole sijui...
Na huyo ya mgeukie jirani inategemea na mhubiri pia ipo kote tu...
😄
Nenda kwa Mwamposa ukauziwe udongo.NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.