Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,700
- 3,863
hapo mbuz tuseme katafsiri au anaenda kwa vitendoSio hii sasa, hawa ni sarakasi kanisani
hapo mbuz tuseme katafsiri au anaenda kwa vitendoSio hii sasa, hawa ni sarakasi kanisani
😂😂😂2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Huyo anapiga maombi, sielewi una maana gani mbuzi yuko wapi?hapo mbuz tuseme katafsiri au anaenda kwa vitendo
Kitendo cha kubusu sanamu la maria au Yesu,haya mambo yananikata stimu kabisa.NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Vyovyote itakavyotafsiriwa kikubwa mlete uzi aende akaabudu sehemu ambayo atafanya ibada na kisha kupata amani ya moyo wake.Katoliki SIO dhehebu. Hao waliojitoa ndio madhehebu, Muwe mnasoma historia ya kanisa. Alafu hao hawana Misa Takatifu. It's different. Huko ni kama wapo tamasha.
Hasira za nini mkuu nishasema wewe sio miongoni mwa wale tenashara kwa maelezo yako na lugha yako ya hasira hiyo sio hulka ya warumi.Alafu ulivo huna akili unajiita mrumi, mkiambiwa KANISA lenu ni himaya ya kipagani limeanzishwa na Constantine mnashangaa, mimi sio mrumi Wala Roman, mimi ni mkatoliki tena hasa. Hakuna KANISA linaitwa Roman Catholic, ni uvivu wa watu tu kujua, ingia ata website ya Vatican hutokuta official document Ina Hilo neno, sisi KATOLIKI tu. Tupo makanisa 27.
Kipengele cha kutakiana amani kipo kote ht morovian atakikutaWE BABA UNA ROHO YA KISHETANI HATA KANISANI KOMA IWE MWIKO KWENDA USIJE TENA.
WATU TUSITAKIANE MEMA? TUSIJULIANE HALI? TUSIFUNZWE?
WATU TUMEKENGEUKA SANA SIKU HIZI TUMEKUWA WANYAMA
WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
😄Vyovyote itakavyotafsiriwa kikubwa mlete uzi aende akaabudu sehemu ambayo atafanya ibada na kisha kupata amani ya moyo wake.
Ambacho haujakizingatia ni kwamba anachokilalamikia mdau ni suala la muda,ikiwa aliko currently ameshindwa kuvumilia masaa mawili ndiyo akapaweze huko pa masaa saba kasoro?Njoo kanisani kwetu, hizo kero hakuna. Sisi tunaingia kanisani saa moja asubuhi na misa inaisha saa sita mchana.
Michango mingi michango gani?Michango mingi
Hicho tu?Nilienda kubatiza mtoto padri anakataa jina nililoandika, anampachika jina lingine eti nimekosea spelling. Jina ambalo ukibadili herufi tu hata kulitamka ni lingine kabisa ila yanaendana. Aliniudhi kinoma
Yaani kumbe hujaelewa. Ukiona kwako kuna ungua basi kwa mwenzio kunateketea, umeelelwa sasa haaaaaaAmbacho haujakizingatia ni kwamba anachokilalamikia mdau ni suala la muda,ikiwa aliko currently ameshindwa kuvumilia masaa mawili ndiyo akapaweze huko pa masaa saba kasoro?
Ah wapi labda atoke yeye. Wanatuharibia KANISA.Hama hilo kanisa kwa sababu huwezi kumwambia na akajirekebisha
Sabato si ndio atakimbia!! Ataweza kushinda kanisani kutwa nzima?Huku pia hatutaki wenye hiyo tabia, labda aende sabato.
Mimi nipo Catholic church, latin rite nasali pia , eastern rites zote napopata fursa. Hakuna KANISA linaitwa RC kiazi wewe nioneshe ata website yao au address yao.Si uhame kwani umelazimishwa kusali RC ???? Unaumwa wewe si bure
Muda. Hasa kama unatumika kwenye perepere tu.Ambacho haujakizingatia ni kwamba anachokilalamikia mdau ni suala la muda,ikiwa aliko currently ameshindwa kuvumilia masaa mawili ndiyo akapaweze huko pa masaa saba kasoro?
Kumsimanga shetani.Muda wote huo mnafanya nini?
Ongeza. Maombi yawezakuwa kunapepo ama kunyemelea hatavanaanza kukupa vikwazo.NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Umenikumbusha, ata mimi nililazimishwa eti lazima nitoe jina mtakatifu anayefahamika. Yani ilibidi nimhoji yule padri, nkamwambia jina lina maana fulani kwa lugha yetu, alafu nikamuuliza je hao WATAKATIFU majina yao si ya kikwao? Kwani mwanangu Ina maana akiwa mtakatifu jina la kiafrika si linapanda hadhi? Akatulia nikabatiza. Nilisahau hii kero.Nilienda kubatiza mtoto padri anakataa jina nililoandika, anampachika jina lingine eti nimekosea spelling. Jina ambalo ukibadili herufi tu hata kulitamka ni lingine kabisa ila yanaendana. Aliniudhi kinoma