Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,036
- 8,443
Kinachokusumbua ni imani haba. Ivi kuna alama nyingine kubwa kuzidi misa takatifu?
aaah weeee hapo siendi mimi.Wewe kumbe hujaona mengi, siku nikupeleke ukaone tunavyomg’oa na kumtandika shetani
Kuna muda ukiwa una uchungu sana unashika panga kabisa unamchinja
Nawe unakuwa unafyekesha lako😃aaah weeee hapo siendi mimi.
Yaan nikaanze kukwepa mapanga kwel. hamna kwakweli, mwisho nirud sina sikio sijui ntamshtak nan
Hapa umedanganya, Kutikiana amani hakuna mambo mengi kama unavyopotosha!mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Kinachokusumbua ni imani haba. Ivi kuna alama nyingine kubwa kuzidi misa takatifu?
"Mgeukie jirani yako mwambie abebe msalaba wake" vitu kama hivyo.Hapa umedanganya, Kutikiana amani hakuna mambo mengi kama unavyopotosha!