Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

Kwa maelezo yako wewe sio mkatolic labda mkatolic wa mtandaoni. Padri anapata wapi mda wakuzunguza porojo wakati wa misa wakati anaenda na ratiba? Muda pekee ambaye padri huzungumza alichokiandaa ni muda wa mahubiri na kidogo sana tena sio lazima ni baada ya misa.

Wewe sio mkatoliki sababu katoliki huwa wanaenda na muda kama misa ya kwanza ni saa kumi na mbili na nusu asubuhi misa ya pili ni saa 2 kamili asubuhi na haitokei ratiba hii ikavunjwa kwa matakwa ya padri sasa padri atapata wapi mda wa porojo? Na maswala ya geukia jirani muambie neno lolote hiyo katholic haipo na muda wa kutakiana aman siku hizi hakuna kupeana mikono zaidi ya kuinamisha vichwa.
Hili jamaa ni takataka kabisa! Kati ya madhehbu yanayizingatia muda ni Katoliki. Yaani ukalishe watu saa 4 unahubiri nini? Misa za Katoliki hazizidi saa 1.30 mfano Parokiani kwetu huwa tunaanza saa 12:00 alfajiri, saa 1:15 lazima awe amemaliza, maana saa 1:30 Misa ya Pili inaaanza.
 
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Mahubiri marefu >15 minutes
Michango zaidi ya miwili ndani ya ibada moja
Ibada ndefu zaidi ya saa moja na nusu
 
Anakazia nini bana we kukerana tu. We mtu ushamaliza maliza. Straight to the point. Blah blah tu. Alafu kutakiana amani sijakataa ila kuna ile anawaambia mwambie jirani yako......SIPENDI. Ni dukuduku langu.
Ulivyoandika dukuduku lako nimejua kumbe we nae mngese tu unatupotezea muda kwenda takataka
 
Siku yenyewe moja tu jumapili na ibada ya misa haizidi masaa mawili lakini mleta uzi analalamika. Uwe unasali Ibada katikati ya wiki ambayo haizidi hata lisaa limoja na haina mahubiri ili jumapili ulale nyumbani kwako usipate shida.

Kwanza kusali katoliki ni hiyari kama imekushinda hama kasali dhehebu lingine. Hivi ungekuwa unasali Lutheran si ndio ungekuwa unaenda kanisani kila baada ya miaka mitatu. Wenzako wanaingia pale Lutheran Korogwe kwa Mastahi saa 12 asubuhi wanatoka saa sita mchana na hawaoni shida kumtumkia Mungu na kila jumapili wapo kama kawaida kupokea upako.
 
WE BABA UNA ROHO YA KISHETANI HATA KANISANI KOMA IWE MWIKO KWENDA USIJE TENA.

WATU TUSITAKIANE MEMA? TUSIJULIANE HALI? TUSIFUNZWE?
WATU TUMEKENGEUKA SANA SIKU HIZI TUMEKUWA WANYAMA

WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
Kwenye Biblia kuna mstari unaoonyesha Yesu akiwataka wafuasi wake wapeane maneno ya kutakiana amani au kilichopo sasa ni ubunifu wa mapadri?
 
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Duuh Pole sana.....Mimi pia huwa Naboreka kama wewe kwa sababu huwa nimepanga MISELE na Shughuli mbalimbali baada ya MISA...ila huwa nasutwa na "iAmri hii inafundishwa kama "Shika kitakatifu siku ya Mungu". Waumini wanaelekezwa kufanya yafuatayo
  • Kushiriki Misa Takatifu siku ya Jumapili na sikukuu zilizoamriwa.
  • Kupumzika kutoka kwa kazi nzito za kimwili ili kupata muda wa ibada na familia.
  • Kutenda matendo mema na ya huruma kwa wasiojiweza. [1, 2]
Nakutakia Jumatatu njema
 
Hili jamaa ni takataka kabisa! Kati ya madhehbu yanayizingatia muda ni Katoliki. Yaani ukalishe watu saa 4 unahubiri nini? Misa za Katoliki hazizidi saa 1.30 mfano Parokiani kwetu huwa tunaanza saa 12:00 alfajiri, saa 1:15 lazima awe amemaliza, maana saa 1:30 Misa ya Pili inaaanza.
Huyu ana matatizo sio Mrumi huyu. Hata ukimwambia asali kanuni ya imani hajui
 
Kwangu mm, huo muda tuu tyr nshachoka hilo kanisa hata kabla sijaingia 😂
Saa moja mpaka saa sita mchana mnafanya nn muda wote huo, huu upuuzi upo hata kanisani kwetu Lutheran
Tuna kwaya nne kanisani kwetu na zote zinatumia vyombo, lazima zote ziimbe nyimbo mbili, tuna kikundi cha kwaya special, hiki kinatuweka sawa kiroho kabla ya mahubiri. Tuna kwaya ya Sunday school, lazima nayo ije ipige shoo kidogo. Tuna nyimbo za kitabuni, Waumini lazima tuimbe nyimbo tatu. Upoooooo
 
Ila waroma me nawakubali Kitu kimoja mule kanisani mchawi haingii ila makanisa mengine wachawi wanaingia kanisani kama kawa😁😁
 
Kutakiana amani ni vile tunafunzwa kuwa wamoja na wenye moyo wa upendo kwa jirani zetu.

Sasa wew hutak? TUTAKUFATILIA.

Inaonekana wew unaendaga kanisan kutimiza wajibu tu nasio kujifunza
 
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Umelazimishwa kwenda huko? Wazungu walioleta hiyo dini wameshafunga makanisa we nyani unahangaikia na kuendelea kudanganywa
 
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.

Una uhakika hilo mi kanisa katoliki padre anashauri wapeane Mikono waambiane maneno sijui mwambie mwanzako hivi au mwambie mwenzko vile.

Kwenye parokia yetu wakati wa kupeana amani hatushikani tena mikono tunainamiana kwa unyenyekevu tukisema amani ya Kristu.

Kuhusu padre kuhubiri muda ambao sio wa mahubiri kwetu sis kanisani ni Ibada, kila analosema padre kwetu ni Ibada. Padre akishasimama altareni akiamua kuhubiri kila nafasi ikitokea kwetu sisi tunaona baraka.

Jichunguze vizuri kuna nafsi inakutaka usikae kanisani
 
Tuna kwaya nne kanisani kwetu na zote zinatumia vyombo, lazima zote ziimbe nyimbo mbili, tuna kikundi cha kwaya special, hiki kinatuweka sawa kiroho kabla ya mahubiri. Tuna kwaya ya Sunday school, lazima nayo ije ipige shoo kidogo. Tuna nyimbo za kitabuni, Waumini lazima tuimbe nyimbo tatu. Upoooooo
Shetani lazima akimbie hapo
 
Back
Top Bottom