Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Wewe dada mbona unamajungu jamani, sio tabia nzuri lakini.
 
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono,
Kutakiana amani ni sehemu ya liturjia ya misa ya Kikatoliki, na haiepukiki. Hii inatokana na maneno yanayonukuliwa kutoka kwa Yesu Kristu mwenyewe, aliposema "Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; " Yohana 14:27
Hapa si lazima kupeana mikono, hutegemea na nyakati na mazingira. Kipindi cha covid19 maeneo mengi duniani katika Kanisa Katoliki yalizuia kutakiana amani kwa kupeana mikono, na zilitafutwa namna nyingine kama vile kuinamiana, lakini sio kuzuia sehemu hiyo kabisa
 
Siyo. Lazima kupeana amani. Imeanza Vatican 2. Kipindi cha covid mapadri wanaojitambua ilikuwa ikishafika hapo anamalizia hayo maneno anakwenda straight, mwanakondoo.... SIO LAZIMA. Jitu umeliona kabisa linachokonoa pua na mkono wake alafu unampa mkono? Hell no. Alafu sio LAZIMA niongee na mtu kanisani. Biashara ya mwambie jirani yako this mwambie that ni ushamba. Very uncomfortable.
 
Kama Katoliki inakukera suluhisho ni kuhama mkuu, kwanini ukwazike na jinsi mapadri wanayoendesha Misa?.Makanisa yapo mengi,misikiti pia ipo ni wewe tu chaguo lako. Tunaishi mara moja, using'ang'anie sehemu unapoona panakukera.
 
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Hama hilo kanisa kwa sababu huwezi kumwambia na akajirekebisha
 
Wewe ndio takataka. Kwanza KANISA KATOLIKI SIO dhehebu. Bwege ata hujui historia ya ukristo. Madhehebu ni hao waliojitoa. Muda wa mahubiri ni baada ya injili tu. Huko kwingine ni kushindwa kumanage muda.
Takataka promax! Yaani wasiseme hata utangulizi?
 
Back
Top Bottom