- Thread starter
- #141
Pepo linalopenda mahubiri yasio straight to the point na kuzingatia matumizi ya muda?Ongeza. Maombi yawezakuwa kunapepo ama kunyemelea hatavanaanza kukupa vikwazo.
Pepo linalopenda mahubiri yasio straight to the point na kuzingatia matumizi ya muda?Ongeza. Maombi yawezakuwa kunapepo ama kunyemelea hatavanaanza kukupa vikwazo.
Hao ata sio wakristo kwanza. To hell.Sabato si ndio atakimbia!! Ataweza kushinda kanisani kutwa nzima?
Huku Kwa walokoleKipengele cha kutakiana amani kipo kote ht morovian atakikuta
Labda makanisa ya kilokole sijui...
Na huyo ya mgeukie jirani inategemea na mhubiri pia ipo kote tu...
😄
Huko hakuna (Misa). Ukielewa tofauti ya misa na Ibada utaelewa kwanini ijumaa kuu hakuna Misa bali Ibada. Mimi KANISA kamwe sihami ila nasema mambo yanayonikwaza Ili kama kweli yanashida yafanyiwe kazi. Mimi siwezi kwenda kwa KANISA lingine maana hawana Misa bali matamasha. Kwanza kwa sabato sio ata wakristo.Huku Kwa walokole
Inapigwa pambio Kanisa zima linazunguka kutakiana heri hata round mbilimbili.
Labda aende kwa waadventist.
Kwendaaa huko na ushetani wakoMimi nipo Catholic church, latin rite nasali pia , eastern rites zote napopata fursa. Hakuna KANISA linaitwa RC kiazi wewe nioneshe ata website yao au address yao.
Umeparamia Uzi usiokuhusu. Chizi wewe.Kwendaaa huko na ushetani wako
Wewe sio mkatoliki, wakatoliki hawana jumapili bali Dominika, siku ya Bwana, sio siku ya mambo mengine kama huwezi kuvumilia kwa nyumbani au kusali kwa mwamposaNB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.we
Bila shaka una mimba yaoNachowapendea wakristo ni jambo moja tu wao WAMERUHUSIWA KUFIRANA na Papa
Unabishana na papa?Bila shaka una mimba yao
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishw
level Yako ya uvumilivu ni ndogo. Mimi nimezaliwa catholic nikala skrament zote kasoro ndoa na mpako wa wagonjwa. Nikaenda kwa wapendwa halooo kati ya watu wa ajabu kwenye kuendesha ibada ni walokole duh, unakaa mpaka unachoka, logic ya ibada hamna, shida tupu ila catholic dah!, Wanajua sana kwenye masuala hayo.
bora mie chizi kuliko wewe shetani karabaUmeparamia Uzi usiokuhusu. Chizi wewe.
Mi tulibishana bado kidogo nimwambie ubatizo wenyewe sitisheni tuu, kuna mtu pembeni eti ananiambia usibishane na mtu wa Mungu hapo haongei yeye, hiyo ni sauti ya Mungu kupitia yeye. Nikasikitika tuu.Umenikumbusha, ata mimi nililazimishwa eti lazima nitoe jina mtakatifu anayefahamika. Yani ilibidi nimhoji yule padri, nkamwambia jina lina maana fulani kwa lugha yetu, alafu nikamuuliza je hao WATAKATIFU majina yao si ya kikwao? Kwani mwanangu Ina maana akiwa mtakatifu jina la kiafrika si linapanda hadhi? Akatulia nikabatiza. Nilisahau hii kero.
We unaona kidogo? Birth certificate na kila sehemu yake inasoma jina flani, alafu padri anabadili kirahisi tuu eti huyu tumwite jina flani.Hicho tu?
Shughuli ya kukata vichwa waandamanaji inaishaga saa ngapi? manake siku ile niliona wakiwa barabarani wanazurura kutwa nzima wakiwasubiri watu ambao hawakuwa na ahadi/makubaliano nao.Kama huko mambo ni magumu nenda ukajiunge na kikundi cha Sheikh Mawaipopo cha kukata vichwa waandamanaji.