Masters na PhD za serikalini ni mshahara tu na pension; za KKKT ni kupanda vyeo; Katoliki ni maarifa kwenda kwa jamii

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Uhuu ni utafiti wa sifi Leo msomaji una haki ya kuupinga ila upinge Kwa hoja.

Wasomi wengi waliopo serikalini waliingia serikali paspo kuwa na sifa kama walizo nazo Leo

Wengi wao wamejiendeleeza wakiwa kazini mpaka wanaitwa madakitari na maproffesa na hata wenye mastazi wengi waliingia serikalini na viwango vidogo vya elimu.

Swali je walijiendeleza Kwa manufaa ya utumishi ulio tukuka Kwa Taifa la Tanzania?

Jibu la swali Ili linanikumbusha darasa niliro lisoma Chuo kikuu fulani tulipokuwa tuna ingia evening session ambapo asilimia kubwa kama sio 90% wanafunzi wenzangu walikuwa ni age kuanzia 50 Kwa asilimia 40% na remaining walikuwa more than that.

Nilikuwa nikiwauliza Kwa Nini wamekaa kazini muda mrefu hawakukiendeleza?

Majibu Yao yalikuwa very simpo yaani walisomea salary increament na kulipwa pension ya graduate pale watakapo kuwa wamestafu.

Sasa faida wanazozipata walio soma Kwa ajili ya vitu hivyo viwilli uwa wanateuliwa kuwa wakurugenzi wa mashirika,enzi za Jakaya wengi walipewa zawadi ya ukurugenzi na ukuu WA wilaya na Sasa tumeanza kuona uteuzi wa namna hii ukirudi.

Changamoto ya watu Hawa ni kuwa wanakuwa na uzoefu mkubwa wa serikali na mambo ya ovyo yoteee yaliyotokea wakiwa watumishi wa kawaida na Sasa wanapo pewa uteuzi nao uendeleza ya wale waliokuwa wakubwa zao enzi hizo.

Chunguzeni ni wasomi wachache walioajiliwa wakiwa na elimu za PhD au mastazi ukiajiliwa ukiwa na degree kwanza unaanzishiwa pahala panapokufanya ukate tamaa mapema uone private ni pazuri kuliko serikalini.

Ukitaka kujua ninachoamanisha chukua msomi wa mastazi aliyeajiliwa na private sector au hata graduate wa private mfananishe na wa serikalini wapime katika performance utashangaa.

Niliwai chukua afisa mikopo wa mfuko wa Rais yaani presidential trust fund ambae alikuwa graduate, nikamweka na afisa mikopo wa Access Bank yaani nilicheka nikaamini kweli yawezekana bogus wengi wamepata upenyo ila genius wapo nje ya mfumo(chunguzeni mtaona siwasemi vibaya Nina uhakika).

Nije Kwa Wasomi wachungaji wa KKT

Hapa napo niliwai fanya kautafiti kadogo sana, dhehebi la Dini Kwa upande wa Tanzania ni miongoni mwa madhehebu yanayo amani yakuwa mchungaji mzuri anaeweza ubiri injili na anae faa kupewa wadhifa mkubwa kanisani ni msomi.

Yaani utasikia Dr. kimaro sijui Dr nani hao ndo wanapewa fursa ya kupewa vyeo vikubwa katika kuongoza kanisa wale wachungaji wenye upeo wa kuzaliwa na wenye uwezo mkubwa wa kuubili injili mpaka ikawafikia waumini vizuri hawapewi nafasi nzuri Wala vyeo vikubwa mtu kama mchungaji hananja kanisa lilishindwa kumtumia vizur akiwa kwao maana yake uwezo wake ulikuwa ni mkubwa sana WA kung'amua mambo kuliko hata Dr Marasusa lakini alifungiwa milango akashindwa kubamba akiwa kwao alipostafu akambamba Sasa wanamfungiaje wakati kaisha stafu?

Kanisa limekuwa na wasomi ambao wakipanda mazabauni kazi ni kujisifia hohooo Mimi nilikuwa marekani nasomea mastazi majigambo kibao kuliko mahubiri.

Msomi mzuri wa mastazi, PhD anashindwa kabisa kuubiri injili Kwa kufananisha yaliyoandikwa kwenye bibilia na Hali halisi. Huyu ni msomi wa namna gani?

Mchungaji ana mastazi anapanda madhabauni anaishia kuelezea vya mkewe na wanawe nyumbani kwake?

Ili nalo liangaliwe wachungaji wengi wanasomea vyeo.

Twende Kwa wenzangu!
Yaani hapa ni Katoliki!

Lazima niseme kweli moja ya dhehebu lenye wasomi wa kweli ni Katoliki!

Miaka hizo enzi tunasoma tulikuwa tunaambiwa uwezi kuwa padiri paspo kupata div one o level na one adv.

Ili ninahakika nalo kabisa Mapdri wa enzi zetu walikuwa vichwa Nina hakika Hadi Leo hakuna padri ambae hajasomea wengi wamesoma lakini Nina wasiwasi na mafunzo Yao ya upandri yakuwa uwa wanaambiwa ukipanda madhabauni, elimu Yako iache nje kabisa.

Hakuna padri niliwai msikia akiwa madhabauni anazungumzia kiwango chake Cha elimu kamwe,(kama Kuna aliyewai msikia aseme hapa).

Mapdri wa kanisa katoliki Nina hakika hata vyeo vyao haivpandi Kwa sababu weww una degree au mastazi au PhD ila Kila mwenye taaluma yake uenda kuitumia pale wanapotakiwa kutumia elimu zao huko mathalani Wewe ni padri lakini ni mwanataaluma ya elimu utakwenda kufundisha darasani
Wewe ni Dakitari utatubu wagonjwa uko,Wewe ni nesi utatibu uko lakini ukiwa madhabauni kamwe elimu Yako ibakia uko.

Je, kwenye madhehebu mengine uko Hali ya uthaminifu wa elimu kukoje?

Pale Rwanda Raisi wa Rwanda ameweka Msingi Kwa Kila kiongozi walau awe na kiwango fulani Cha elimu ya Dini Tanzania nadhani hakuna mwongozo MAALUMU.

Baada ya kuyasena haya naomba niseme ni uchambuzi binafis wa sifi Leo mkatoliki halisi.
 
Uhuu ni utafiti wa sifi Leo msomaji una haki ya kuupinga ila upinge Kwa hoja.

Wasomi wengi waliopo serikalini waliingia serikali paspo kuwa na sifa kama walizo nazo Leo

Wengi wao wamejiendeleeza wakiwa kazini mpaka wanaitwa madakitari na maproffesa na hata wenye mastazi wengi waliingia serikalini na viwango vidogo vya elimu.

Swali je walijiendeleza Kwa manufaa ya utumishi ulio tukuka Kwa Taifa la Tanzania?
Jibu la swali Ili linanikumbusha darasa niliro lisoma Chuo kikuu fulani tulipokuwa tuna ingia evening session ambapo asilimia kubwa kama sio 90% wanafunzi wenzangu walikuwa ni age kuanzia 50 Kwa asilimia 40% na remaining walikuwa more than that.

Nilikuwa nikiwauliza Kwa Nini wamekaa kazini muda mrefu hawakukiendeleza?

Majibu Yao yalikuwa very simpo yaani walisomea salary increament na kulipwa pension ya graduate pale watakapo kuwa wamestafu.

Sasa faida wanazozipata walio soma Kwa ajili ya vitu hivyo viwilli uwa wanateuliwa kuwa wakurugenzi wa mashirika,enzi za Jakaya wengi walipewa zawadi ya ukurugenzi na ukuu WA wilaya na Sasa tumeanza kuona uteuzi wa namna hii ukirudi.

Changamoto ya watu Hawa ni kuwa wanakuwa na uzoefu mkubwa wa serikali na mambo ya ovyo yoteee yaliyotokea wakiwa watumishi wa kawaida na Sasa wanapo pewa uteuzi nao uendeleza ya wale waliokuwa wakubwa zao enzi hizo.

Chunguzeni ni wasomi wachache walioajiliwa wakiwa na elimu za PhD au mastazi ukiajiliwa ukiwa na degree kwanza unaanzishiwa pahala panapokufanya ukate tamaa mapema uone private ni pazuri kuliko serikalini.

Ukitaka kujua ninachoamanisha chukua msomi wa mastazi aliyeajiliwa na private sector au hata graduate wa private mfananishe na WA serikalini wapime katika performance utashangaa.

Niliwai chukua afisa mikopo wa mfuko wa Rais yaani presidential trust fund ambae alikuwa graduate, nikamweka na afisa mikopo wa Access Bank yaani nilicheka nikaamini kweli yawezekana bogus wengi wamepata upenyo ila genius wapo nje ya mfumo(chunguzeni mtaona siwasemi vibaya Nina uhakika).

Nije Kwa Wasomi wachungaji wa KKT

Hapa napo niliwai fanya kautafiti kadogo sana, dhehebi la Dini Kwa upande wa Tanzania ni miongoni mwa madhehebu yanayo amani yakuwa mchungaji mzuri anaeweza ubiri injili na anae faa kupewa wadhifa mkubwa kanisani ni msomi.
Yaani utasikia Dr kimaro sijui Dr nani hao ndo wanapewa fursa ya kupewa vyeo vikubwa katika kuongoza kanisa wale wachungaji wenye upeo wa kuzaliwa na wenye uwezo mkubwa wa kuubili injili mpaka ikawafikia waumini vizuri hawapewi nafasi nzuri Wala vyeo vikubwa mtu kama mchungaji hananja kanisa lilishindwa kumtumia vizur akiwa kwao maana yake uwezo wake ulikuwa ni mkubwa sana WA kung'amua mambo kuliko hata Dr Marasusa lakini alifungiwa milango akashindwa kubamba akiwa kwao alipostafu akambamba Sasa wanamfungiaje wakati kaisha stafu?

Kanisa limekuwa na wasomi ambao wakipanda mazabauni kazi ni kujisifia hohooo Mimi nilikuwa marekani nasomea mastazi majigambo kibao kuliko mahubiri.

Msomi mzuri wa mastazi,PhD anashindwa kabisa kuubiri injili Kwa kufananisha yaliyoandikwa kwenye bibilia na Hali halisi. Huyu ni msomi wa namna gani?

Je kwenye madhehebu mengine uko Hali ya uthaminifu wa elimu kukoje?

Upo sahihi kabisa.
 
Ndio maana CCM wasomi kama hao huwachukulia kama wa kawaida tu that's why akina musukuma wanaonekana ma genius. Sababu mi kwamba... Wao wanaamin kutumia kila njia kupiga pesa hata ukijitoa akili mazima!!

Kwa uandishi huu mbovu hupaswi kuwa umefika hata form 4.
 
Huyu ni mtu mwenye wivu
Kinachoiangusha mifumo ya serikari ni thumb rule(number of years) ambayo mtu amehudumu kwenye hiyo nafasi badala ya performance based na kumeet target.

Ila elimu Ina umuhimu wake na yeye akasome huo uzamili na uzamivu kama anahisi ni rahisi.
 
Jengeni hoja hacheni upuuzi
 
Back
Top Bottom