Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Hii inatokea sana hapa Mbezi Juu parokia ya Mt Dominico. Kuna Father Daniel Kilala, ni kero tupu kwa kwenda mbele
 
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.

Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.

Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Wewe nimekushangaa tu.Labda kuna mtu alikushawishi uende kusali mara moja.Hivi kuna dhehebu ambalo muda wa kukaa kanisani ni mchache kuzidi kanisa Katoliki hadi ulalamike? Misa ikiwa ndefu sanaaa ni 3hrs wakati wenzetu wanasali hadi masaa kumi na wasabato huwa na break kabisa.Mwisho kwa utaratibu wa kanisa katoliki kila Parokia,Jimbo na Metropolitan inajitegemea hivi kama unawazo peleka kwa paroko maana ulichosema kinamhusu Padre labda mmoja na hakilihusu kanisa zima
 
Katoliki sio dhehebu. Umefeli mpaka hapo. Maana hujui ata historia ya kanisa. Kaa mbali.
Wewe nimekushangaa tu.Labda kuna mtu alikushawishi uende kusali mara moja.Hivi kuna dhehebu ambalo muda wa kukaa kanisani ni mchache kuzidi kanisa Katoliki hadi ulalamike? Misa ikiwa ndefu sanaaa ni 3hrs wakati wenzetu wanasali hadi masaa kumi na wasabato huwa na break kabisa.Mwisho kwa utaratibu wa kanisa katoliki kila Parokia,Jimbo na Metropolitan inajitegemea hivi kama unawazo peleka kwa paroko maana ulichosema kinamhusu Padre labda mmoja na hakilihusu kanisa zima
 
WE BABA UNA ROHO YA KISHETANI HATA KANISANI KOMA IWE MWIKO KWENDA USIJE TENA.

WATU TUSITAKIANE MEMA? TUSIJULIANE HALI? TUSIFUNZWE?
WATU TUMEKENGEUKA SANA SIKU HIZI TUMEKUWA WANYAMA

WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
Takianeni Misa ikiisha ng'ombe wewe .
 
Sio hii sasa, hawa ni sarakasi kanisani
siku nafka dar mara ya kwanza nilifka j,pili asubuh ubungo.

mwenyej wang kanipokea na tukaenda kanisan kwa kakobe ili jion twende hom.

Asee nilijiulza haya ni maombi? Au ni mazoez ya viungo vya mwili?

Maana ngumi makofi mateke wanampiga shetani.
Wanapgana na upepo.
 
Hiyo kawaida sana kwa walokolole😅
 
Umenikumbusha,ilikuwaga kama kesho ni jumapili,tulikuwa tunapika chakula jumamosi kabisa Cha kubeba kanisani,jumapili yote tunashinda kanisani kurudi jioni.
 
Wewe umechanganya picha hii na ile maharusi wamepewa zawadi ya mbuzi, mbuzi wakaanza kulana mbele yao
1787996520690.jpg
 
Back
Top Bottom