chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
kuwa stress na maisha kazi sana kila kitu unachukia.
Sisi mengine tunampenda, hasa ile Maraaaaaam!Wabongo wabaya sana sasa unataka afukuzwe kazi au?
Hivi kumbe ukidiscuss na muimbaji huwa mnadiscuss kwa kuimba!Hebu tujaalie unakutananae in person una issue mnataka mu discuss halafu akuletee hizo utajisikiaje?
Utakuwa mgonjwa wewe!kipindi serious kama taarifa ya habari huwezi kufanya utumbo ule !then mnataraji lugha ya kiswahili ivuke mipaka?kama humpendi ni wew, mi ananikosha sana
Kuna mtu humu amesema stress zikizidi kila kitu unachukia!Utakuwa mgonjwa wewe!kipindi serious kama taarifa ya habari huwezi kufanya utumbo ule !then mnataraji lugha ya kiswahili ivuke mipaka?
Watu kama nyie huwa mnaboa sana, wakenya wakenya wewe fanya yako, ndio maana wanawadharau Kwani kila kitu lazima utaje wakenya ndio wanaokulisha au? Mbona ni binadamu km wewe tu, wewe unawaona km special saana au??Elimu,elimu elimu wakenya tutawafukuza sana na hatuta wakamata na ndio maana hapa wako wengi tu wanapiga kazi uliza kenya kuna wa tz wangapi wanafanya kazi huko-ni aibu.
Huyu ripota kwa kweli huwa nikisikia tu sauti yake nabadili chanel yani anatafuta attention kwa nguvu sana na utofauti usio na msingi. Yani ananikera kama sauti ya mbu ukiwa umelala . So unprofessional.
Usihangaike na huyu hata darasa la saba hakufika
Amewahi kuona ripota gani wa kuheshimika anapoteza muda kwa kuvuta maneno kama yeye? Jirekebishe unakera sana jinsi unavyovuta makusudi maneno yako. Hata haipendezi. Kero sana. Yani.
Ukikutan naye utashangaa sana kuona kuwa ndo huwa anavuta sauti namna ile,Simpendi hata kidogo,sijui hata kwenye usaili alipitaje
Hiki sio kiswahili cha KenyaKumbe watz wanamfahamu Gatete Njoroge wa Citizen,ningependa sana kuwatazama watangazaji wa tv. za tz nao pia huku Kenya. Sasa sijui kama mnamfahamu huyu Hassan Juma wa KTN ananiudhi sana na bass yake ingine feki feki,duh!meno yake yote yataanguka chini siku moja,nangoja hilo sana,haaasaaaaan juuumaaaaaaaaaah,ktn michezo!Argh!
Hemed kivuyoKuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa