Kero: George Marato wa ITV

dopeboy

Senior Member
Sep 22, 2014
121
100
Huyu ripota kwa kweli huwa nikisikia tu sauti yake nabadili chanel yani anatafuta attention kwa nguvu sana na utofauti usio na msingi. Yani ananikera kama sauti ya mbu ukiwa umelala . So unprofessional.

Amewahi kuona ripota gani wa kuheshimika anapoteza muda kwa kuvuta maneno kama yeye? Jirekebishe unakera sana jinsi unavyovuta makusudi maneno yako. Hata haipendezi. Kero sana. Yani.
 
Sio wewe tu, dawa yake una MUTE sauti. Alafu cha kushangaza redioni anapngea kawaida!
 
Mi ripota anayenikosha kwa mbwembwe zake ni yule Ja te te Njoroge wa Citizen

Wakenya wabunifu.......huwezi kuwakuta wakitangaza kipuuzi kama hawa wetu........hata commercial zao zimeenda shule......sio kama za kina Majuto na magodoro Dodoma........kichefuchefu kitupu.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom