Kero: George Marato wa ITV

Kero: George Marato wa ITV

hata nyie mtaani hampendwi

sema hamjijui tu

wengne mnatembea kama bata, mnatoa majasho hovyo, vichwa kama panga ila wanawavumilia.

acheni mambo yeko hawajazaliwa kukufurahisha wewe.
 
hata nyie mtaani hampendwi

sema hamjijui tu

wengne mnatembea kama bata, mnatoa majasho hovyo, vichwa kama panga ila wanawavumilia.

acheni mambo yeko hawajazaliwa kukufurahisha wewe.

hahaha!duh umenichekesha hadi machozi yakanitoka.Hivi umenikumbusha style yangu ya kutembea,si kama bata lakini ni ya kipekee.Watu wangeambiana ukweli ingekuwa tafash jamani.Hawa ni watu wanaotazamwa na umma mkuu lazima wakashifiwe.
 
Kobi Kihara,AM Live kwenye NTV naitazama sasa hivi,dada amejiamini kwenye kipindi chake,pia analeta mawaidha mazuri sana ya maisha yaani asubuhi inanyooka unajihisi smart.
 
Mbona mimi namkubali hivyo ni vionjo ambavyo wataalam wa ITV/Radio one hawakukurupuka ndio maana wao ni brand bora mpaka kesho
 
Mimi nikishasikia ana report Marato nabadili Chanel kwanza the narudi. Sipendi kumsikia.
 
nikiripoti kutoka Mara ni Geeeeeeeeeeeeeeeeooooooooooooooorgeeeeeeeeeeeeeeeeee Maratoooo wa Itvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvv
 
Nadhani ITV ufasaha na usanifu wa lugha si kigezo cha kupata ajira!
 
Kuna wakati Watanzania tubadilike, kuna mambo kibao ya kukukinaisha na yakuwekea nguvu kuyatatua likiwemo mafisadi wahujumu uchumi, ajira, mishahara ya walimu, kero za hudama za jamii sio kuleta upuuzi kama huu.

Nini shida hasa kuangalia anacho-ripot Marato? Kila mtu ana identity yake, hatuwezi kufanana kwa kila jambo, anakukela basi badili chaneli, na wengine wote hapa wafuata mkumboo, mbona mnadandia uzi huu kuendelea kumsema Marato?

Tubadilike tuleteni vitu vipya vya mustakabali wa Taifa letu,
 
Huyo anaboa kinoma yani anavuta sauti utadhani anagongwa nyuma yani.... anadhani atapata sifa kumbe ndo anaharibu kabisaaa.... Akiwa anahojiwa papo kwa papo mbona anaongea vizuri?
 
Huo ni uniqueness na brand yake nyie vp yaani ukisikia tu sauti hata kama upo mbali moja.kwa moja unajua ni yeye me naona poa tu.
 
Back
Top Bottom