Kero: George Marato wa ITV

Kero: George Marato wa ITV

Wakenya wabunifu.......huwezi kuwakuta wakitangaza kipuuzi kama hawa wetu........hata commercial zao zimeenda shule......sio kama za kina Majuto na magodoro Dodoma........kichefuchefu kitupu.........
Hao Ndio super brand, Yaani hakuna standard, hii insnisminisha lisemwalo Kuwa they pay Kwa kuangalia watu macho ni wengi wengi wao wanalipwa pea nuts, Huyu Bwana wa mara anawakosesha sana Nafasi ya Kuuza mara no potentials zake, Na sijui Kwa nini wana ha wa mara hawana toka manake he is really furnishing the brand badly, Yaani usimsikilize unadhani a watu wote wa mara ni hopeless. ITV wanatembelea popularity ya kunisaidia wenyewe, professionally wamewachoka Mbali Na tv Nyingi wanazoziona wao ndogo, he used chu kulia mfano, talk show zao zote ni Takataka, very low level, Zina lack creativity, hosts wana uwezo Mdogo sana, having mvuto, pia wanaobeba a ku struggle Na contacts za wageni, Angalia malumbano ya hoja,Danika 45, Jukwaa huru, Na kile cha ijumaa au Yule professor anayekuja kutoa lecture, very sad. Vyotetulivyozu put together havimuingii Chilala mmoja wa channel ten.
 
Wakenya wabunifu.......huwezi kuwakuta wakitangaza kipuuzi kama hawa wetu........hata commercial zao zimeenda shule......sio kama za kina Majuto na magodoro Dodoma........kichefuchefu kitupu.........
Kwa taarifa yako wa kenya wanawapapatikia Majuto na Kingwendu vibaya mno!
=====
Tuamie TBC
 
Marato kawaharibu hadi watoto, unakuta Mtoto anavyoigiza hiyo sauti, mbaya sana huyo jamaa sijuhi kasomea wapi
 
channel ten waandish wake au mhariri mkuu nadhani upeo wake ndipo umeishia hapo. maana haibadiliki na kwenda na wakati.
1. taarifa ya habari ipo muda mzuri saa 1 usiku lkn wanaivuta mpk saa 2 usiku, suppose 30mins
2. kipindi cha asubuhi kinaanza saa 12 asub mpk siku nyingine 12.45. suppose 15mins na wangewekeza kwenye usomaji wa magazeti. taarifa iliyotokea baada ya saa 2 usiku huikuti kwenye kipind hich cha asub zaid ya habari za usiku.
3. ni TV kongwe kwa budget hiyo waliokua nayo wangeboresha muonekano wa vipind vyao, kwa either kupunguza baadh ya vipindi na kuingiza vipindi vya nje vyenye maadili ya ki TZ
au kujikita kwenye vipindi vya kuonesha mila na desturi za KiTZ zaid.
4. kwa sasa Channel 10 ina bore lkn sipendi inapoelekea. mkurugenzi mkuu fanya kitu
 
Huyu Kitenge ndio mnamuita chumvi sijui siku hizi ameanza kuboa. Mwambie apunguze sifa nae ameanza kuwa Joji Maratu
 
Huyu Kitenge ndio mnamuita chumvi sijui siku hizi ameanza kuboa. Mwambie apunguze sifa nae ameanza kuwa Joji Maratu
Maulid ni mwandishi mkongwe na mzuri sana ila naona ameanza kuwaiga wapiga makelele kama wale wa clouds redio kipindi kelele mwanzo mwisho hata husikii wanatangaza nini, ila wale tunawasamehe kwa kuwa sio waandishi wanataaluma ni makanjanja wa mtaani tu.

Apunguze makelele na mbwembwe.

Kila kitu kwa kiasi.
 
Huyu ripota kwa kweli huwa nikisikia tu sauti yake nabadili chanel yani anatafuta attention kwa nguvu sana na utofauti usio na msingi. Yani ananikera kama sauti ya mbu ukiwa umelala . So unprofessional.

Amewahi kuona ripota gani wa kuheshimika anapoteza muda kwa kuvuta maneno kama yeye? Jirekebishe unakera sana jinsi unavyovuta makusudi maneno yako. Hata haipendezi. Kero sana. Yani.
Alikuwepo mwingine Nswiiiiima Errrrrřnest sumbawanga ...sijui aliishia wapi
 
Kashatoka jela hivi kwa kesi yake ya rushwa aliyodakwa na TAKUKURU??
 
Back
Top Bottom