Kero: George Marato wa ITV

Kero: George Marato wa ITV

Apunguze kuvuta sana bwana anaboa. Sam pia huwa simkubali sana jinsi anavyovuta attention hadi asambaze mikono mara mbwembwe nyingi kama kuku anaatamia.
 
Maratu anajitahidi sana, kwanza haipiti siku bila kuwa na habari ya kureport kitu ambacho reporters wengi walio mikoa mikubwa wanashindwa.
Maratu chapa kazi.
 
Mwanangu akimsikia Maratu hata kama kalala ataamka,akifika mwisho huitiana naye "Joji Maratu Maraaaaaaaa"
 
Huyu ripota kwa kweli huwa nikisikia tu sauti yake nabadili chanel yani anatafuta attention kwa nguvu sana na utofauti usio na msingi. Yani ananikera kama sauti ya mbu ukiwa umelala . So unprofessional.

Amewahi kuona ripota gani wa kuheshimika anapoteza muda kwa kuvuta maneno kama yeye? Jirekebishe unakera sana jinsi unavyovuta makusudi maneno yako. Hata haipendezi. Kero sana. Yani.
Simpendi hata kidogo,sijui hata kwenye usaili alipitaje
Yule wa michezo Mimi ndo simpend kabisa anavyovuta saut,Watangazaj wa TV kuwen natural mbwembwe zingine had zinakera
Wakenya wabunifu.......huwezi kuwakuta wakitangaza kipuuzi kama hawa wetu........hata commercial zao zimeenda shule......sio kama za kina Majuto na magodoro Dodoma........kichefuchefu kitupu.........

Heshima kwenu wakuu!

Ukiwa na japo a, b, c, d's ya Journalism wala haya masuala ya waandishi na Watangazaji wa habari wa hapa nyumbani hayawezi kukubabaisha kabisa.Wanaaandika na kutangaza Un-professionally,Sipendi na ndiyo maana nimeacha kuwatizama na pia kuwasoma katika Video pamoja na magazeti yao.Ni mimi na JAMII FORUMS,QUORA nk as a source of Information and not otherwise.

Hawajifunzi kutoka kwa Dr Shaka Ssali wa VOA ( straight talk Africa),Christina Amanpour (CNN),Steven Sucker (Hard Talk),Riz Khan,Larry King nk?.

Muandishi unamhoji mtu kisha anajijibu yeye mwenyewe?.Inakera sana haswa kwa walioanza kufuatilia vipindi vikongwe kama VOA vyenye umri wa karibu mtu mzima.Waandishi wamelala sana.Kuanzia kina Hemed Kivuyo,Maratu,Spencer Lameck,Farhia Middle,Ngoto,Silemu,Richard Steven...Yaani Chanell zote wapo hovyo.

Ili wafanye kazi yenye maana inawabidi wasome sana vitabu "Journalism books,Articles pamoja na kuudhuria semina mbalimbali zinazohusu uandishi wa habari there after wanaweza kupata mwangaza na kipi cha kusema,kipi cha kuandika nk.Naandika kwa machungu sana kwakuwa nafahamu fika kuwa Hatuna utamaduni wa kusoma vitabu,Hii ni hatari sana.

Nawashauri warudi darasani.
 
Kakisikia taarifa za simba kufungwa utakasikia mapovu maana hako kajamaa kana unazi kweli, ndio maana hata afya imemkataa
 
Ajajajajajaja.......yule huwa natamani kuvunja tv......anaitwa sijui nani Kivuyo......uwiiiiii.......kachangia sana kunirudisha nyuma kimichezo..........
kwanza mkuu mi huwa sielewi hata anachoongea
 
Wameambiwa wafanye hivyo ili kupata viewers wengi kwenye media zao, pia watu kama ninyi mvutwe kusubili kusikia na kuangalia segment zao but behind the scene matangazo ya makampuni yanawanasa mkiwa hapo.
 
Huyo kivuyo anakuaga na mbwembwe wakat simba ikifanYa vibaya nayanga ikifanya vizuri.
 
Checking...100%
Searching...100%

Network connected !
Near by Uyole Mbeya.
 
&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];
Anaanza:: hujaaaaaaaambo rafikiiii habaaari za sikuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];



Nimecheka Sana mkuu&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Mimi kuna jamaa huwa linatangaza habari za biashara linaitwa Stanley Gaza yaani linaboa linatangaza huku shingo haitulii mara kushoto mara kulia na linavyoongea sasa utadhani mkaripiana.

NA HUYO JAMAA ANAEEEE JIIIITAAAA GEOOOORGE MARAAAATO WA ITIIIIVIII TARIMEEEE WANABOA KWELI.
 
Kumbe watz wanamfahamu Gatete Njoroge wa Citizen,ningependa sana kuwatazama watangazaji wa tv. za tz nao pia huku Kenya. Sasa sijui kama mnamfahamu huyu Hassan Juma wa KTN ananiudhi sana na bass yake ingine feki feki,duh!meno yake yote yataanguka chini siku moja,nangoja hilo sana,haaasaaaaan juuumaaaaaaaaaah,ktn michezo!Argh!
bila kusahau comed flan hv ya NASWA ni hatareee....
 
bila kusahau comed flan hv ya NASWA ni hatareee....
Hio si comedy jombaa,ni uhuni tu bana!Kila show zao ni kujifanya wachawi tu na kujificha vichakani ili wawakimbize wapita njia,maskini wa watu waliozidiwa na stess za maisha.Iyo labda comedy ndombolo!
 
BADALA YA KUJIFUNZA KUSHUSHA VITU VYA KISHABABI KI'MASAKOMASAKO' YE ANAREMBA UTAFIKIRI INAENDA SABASABA ........ DUH! ANABOA!
 
Back
Top Bottom